Wachumi mnisaidie: Fedha iliyookolewa kwa kutoongeza mishahara, vyeo na marupurupu watumishi kwa miaka 5 inaweza kulipia miradi mikubwa mingapi?

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Nimejiuliza mambo machache baada ya kusikia rafiki zangu serikalini wakinena jambo.

Kuwa, miradi mikubwa kama Stieglers, Ndege nk fedha zilizolipia miradi hiyo ni zile zilizookolewa kwa kutopandisha vyeo, nyongeza ya mishahara,nk.

Hii inaweza kuwa wako sahihi? Nisaidiwe!
 
Achana na propaganda za meko.

Nchi inaelemewa na madeni...halafu wanakudanganya eti ni pesa za ndani..Hizo walizookoa ndo wanajengea chattle international airport....
 
Ndio sio huko tu pesa iliyookolewa kwa kutotoa ajira ndio ndefu zaidi.
 
Ni kweli pesa nyingi imeokolewa kwa ajili ya kufanikisha miradi mikubwa mbalimbali isingekuwa hivyo miradi mingi isingefanyika, pia uwezi kulamba asali kama hutaki kupatwa na nyuki wapo walioumia kwa namna moja au nyingine kwenye ufanikishaji wa miradi hii ila kwenye kufanya jambo huwa tunaangalia faida ikiwa kubwa kuliko hasara ndio jambo au mradi hufanyika

Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
 
Na lile deni la taifa limekaje trillion 40 kama kulikuwa na hizo pesa zingine mbona deni limeongezeka kwa kazi ya 5 kwa miaka 5 tu. Akija Rais mwengine ndo tutaambiwa ukweli wa kilichofanyika kwa sasa tuwe wapole tu
 
Acha uongo... Hakuna pesa iliyobaki au kupelekwa ktk miradi.

Elewa kwamba pesa

1. Wafanyakazi hewa pesa imeokolewa.

2. Wenye vyeti feki pesa imeokolewa kupotea.

3. Ambao hawajafika form 4 bila kujiendeleza walifukuzwa kazi.

Lakini bungeni ipo taarifa utumishi walizidi lengo la malipo ya mishahara kisa teua pangua... Wengi wapo bench na wanalipwa...
 
Nimejiuliza mambo machache baada ya kusikia rafiki zangu serikalini wakinena jambo.

Kuwa, miradi mikubwa kama Stieglers, Ndege nk fedha zilizolipia miradi hiyo ni zile zilizookolewa kwa kutopandisha vyeo, nyongeza ya mishahara,nk.
Hii inaweza kuwa wako sahihi? Nisaidiwe!
Shida wabongo wengi ni wajinga, nani amekuambia stigla imejengwa kwa fedha za ndani/mishahara?

Si juzi hapa tumepewa mkopo au nyie hizi stori za vijuweni mmetoa wapi?
 
Na lile deni la taifa limekaje trillion 40 kama kulikuwa na hizo pesa zingine mbona deni limeongezeka kwa kazi ya 5 kwa miaka 5 tu. Akija Rais mwengine ndo tutaambiwa ukweli wa kilichofanyika kwa sasa tuwe wapole tu

Khs Hilo Deni .... Zipo pesa wanalipa Deni na kulipa mishahara.... Hiyo Ni kwa takwimu za tra...

Nawasikitikia wastaafu maana Wana pata tabu, shida na matatizo....
 
Na lile deni la taifa limekaje trillion 40 kama kulikuwa na hizo pesa zingine mbona deni limeongezeka kwa kazi ya 5 kwa miaka 5 tu. Akija Rais mwengine ndo tutaambiwa ukweli wa kilichofanyika kwa sasa tuwe wapole tu
Wewe kama una ukweli wako na hizi taarifa unaweza kuzithibitisha basi peleka madai yako sehem husila ila mimi nimeshakujuza kuwa pesa zimeokolewa na miradi inafanyika na tunaiona na maendeleo tunayaona

Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo... Hakuna pesa iliyobaki au kupelekwa ktk miradi....

Elewa kwamba pesa
1. Wafanyakazi hewa pesa imeokolewa....
2. Wenye vyeti feki pesa imeokolewa kupotea....
3. Ambao hawajafika form 4 bila kujiendeleza walifukuzwa kazi....

Lkn bungeni ipo taarifa utumishi walizidi lengo la malipo ya mishahara kisa teua pangua... Wengi wapo bench na wanalipwa...
Hilo jambo halipo kaka ume andika tu, ila amini yamefanyika mengi makubwa sana na kiukweli tumepiga hatua za kimaendeleo kijana mwenzangu tuchape kazi

Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
 
Hilo jambo halipo kaka ume andika tu, ila amini yamefanyika mengi makubwa sana na kiukweli tumepiga hatua za kimaendeleo kijana mwenzangu tuchape kazi

Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app

Pesa za miradi Ni mkopo laiti ungejua wanao chukua % ungekaa kimya...

Watumishi wa serikali Hali zao sio poa.. kupunguza Kodi sio tija... JK Alikua anangeza mshahara kila mwaka na wastaaafu walikua hawapati kero...

Hivi unajua Sheria ya pensheni (kikokotozi kipya) imepitishwa na inaanza kazi 2022...
Hamna nyongeza yyt hawamu hii...

Shida ht vyama vya wafanyakazi vimelala fo fo foh..
 
Wewe kama una ukweli wako na hizi taarifa unaweza kuzithibitisha basi peleka madai yako sehem husila ila mimi nimeshakujuza kuwa pesa zimeokolewa na miradi inafanyika na tunaiona na maendeleo tunayaona

Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
Mkuu, ina maana kama watumishi wasingebanwa hii miradi isingekuwepo. Au kwa maana nyingine makusanyo yaliongezeka kutokana na mbinyo wa mishahara?
 
Fedha iliyookolewa tunanunulia jogoo na kula hovyo barabarani madafu na mahindi ya kuchoma
 
Mkuu, ina maana kama watumishi wasingebanwa hii miradi isingekuwepo. Au kwa maana nyingine makusanyo yaliongezeka kutokana na mbinyo wa mishahara?
Kuongezeka kwa mapato kumekuja baada ya serikali kukusanya pesa nyingi zilizokuwa zinibwa hivyo zimetumika kufanyia miradi mbalimbali

Back
Top Bottom