Shida wabongo wengi ni wajinga, nani amekuambia stigla imejengwa kwa fedha za ndani/mishahara?Nimejiuliza mambo machache baada ya kusikia rafiki zangu serikalini wakinena jambo.
Kuwa, miradi mikubwa kama Stieglers, Ndege nk fedha zilizolipia miradi hiyo ni zile zilizookolewa kwa kutopandisha vyeo, nyongeza ya mishahara,nk.
Hii inaweza kuwa wako sahihi? Nisaidiwe!
Na lile deni la taifa limekaje trillion 40 kama kulikuwa na hizo pesa zingine mbona deni limeongezeka kwa kazi ya 5 kwa miaka 5 tu. Akija Rais mwengine ndo tutaambiwa ukweli wa kilichofanyika kwa sasa tuwe wapole tu
Ubungo interchange ni fedha za WBKwani maendeleo huyaoni.? Tuna fulai ova ya ubungo
Wewe kama una ukweli wako na hizi taarifa unaweza kuzithibitisha basi peleka madai yako sehem husila ila mimi nimeshakujuza kuwa pesa zimeokolewa na miradi inafanyika na tunaiona na maendeleo tunayaonaNa lile deni la taifa limekaje trillion 40 kama kulikuwa na hizo pesa zingine mbona deni limeongezeka kwa kazi ya 5 kwa miaka 5 tu. Akija Rais mwengine ndo tutaambiwa ukweli wa kilichofanyika kwa sasa tuwe wapole tu
Hilo jambo halipo kaka ume andika tu, ila amini yamefanyika mengi makubwa sana na kiukweli tumepiga hatua za kimaendeleo kijana mwenzangu tuchape kaziAcha uongo... Hakuna pesa iliyobaki au kupelekwa ktk miradi....
Elewa kwamba pesa
1. Wafanyakazi hewa pesa imeokolewa....
2. Wenye vyeti feki pesa imeokolewa kupotea....
3. Ambao hawajafika form 4 bila kujiendeleza walifukuzwa kazi....
Lkn bungeni ipo taarifa utumishi walizidi lengo la malipo ya mishahara kisa teua pangua... Wengi wapo bench na wanalipwa...
Hilo jambo halipo kaka ume andika tu, ila amini yamefanyika mengi makubwa sana na kiukweli tumepiga hatua za kimaendeleo kijana mwenzangu tuchape kazi
Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
Mkuu, ina maana kama watumishi wasingebanwa hii miradi isingekuwepo. Au kwa maana nyingine makusanyo yaliongezeka kutokana na mbinyo wa mishahara?Wewe kama una ukweli wako na hizi taarifa unaweza kuzithibitisha basi peleka madai yako sehem husila ila mimi nimeshakujuza kuwa pesa zimeokolewa na miradi inafanyika na tunaiona na maendeleo tunayaona
Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
Kuongezeka kwa mapato kumekuja baada ya serikali kukusanya pesa nyingi zilizokuwa zinibwa hivyo zimetumika kufanyia miradi mbalimbaliMkuu, ina maana kama watumishi wasingebanwa hii miradi isingekuwepo. Au kwa maana nyingine makusanyo yaliongezeka kutokana na mbinyo wa mishahara?
[emoji23][emoji23][emoji23] una wivu na mhe raisi kula safarini hata mimi napenda sanaFedha iliyookolewa tunanunulia jogoo na kula hovyo barabarani madafu na mahindi ya kuchoma