Wachumi naomba mbinu!

Wachumi naomba mbinu!

Step 1 : Tafuta kwanza wazo zuri la biashara (Iwe ni kitu ambacho unapenda kufanya -- MUHIMU SANA)!
Step 2 : (Nitakueleza ukishapata wazo lako..)
 
Step 1 : Tafuta kwanza wazo zuri la biashara (Iwe ni kitu ambacho unapenda kufanya -- MUHIMU SANA)!
Step 2 : (Nitakueleza ukishapata wazo lako..)
Asante sana.
Wazo ninalo tayari ndomana nimetoa hapo..
 
Walau ungeweka bayana hilo wazo lako hapa watu wakushari na kukupa changamoto za uzoefu kwa waliopitia sawa na ufikiriacho.
Nataka kuthubutu kwa kuanza na biashara ndogo kwanza though sijajua ni biashara gani
 
Nataka kuthubutu kwa kuanza na biashara ndogo kwanza though sijajua ni biashara gani
Kama hujajua ni biashara gani.. basi bado hujawa tayari kufanya biashara. Honestly! Husifanye kwa kuwa unamuona flani anafanya na anapata pesa ukatamani fanya kwa kuwa unamapenzi na hicho ukifanyacho! Fanya kitu ambacho utakuwa tayari kufanya hata kama ukiamshwa usiku wa manane ukifanye. Kitu ambacho kila asubuhi utaamka ukitabasamu kwenda kukifanya! Kinacho kupa furaha kukifanya.
 
Back
Top Bottom