Wachumi naomba mbinu!

Anzisha biashara ya genge.
Hauhitaji mtaji mkubwa kuanzisha mradi huu.

Kwenye hicho kimshahara chako jiminye mpaka uweke kitu Kama laki mbili au pungufu ya hapo.
Genge ni biashara ya uhakika.

Pia inategemea na eneo.
Kila la kheri
 
Kuna wengine ikifika asubuhi anatamani aendelee kulala!!
 
Jifunze kwanza kanuni za pesa.
Nakushauri uanze kwa kusoma kitabu kidogo kinaitwa "The Richest Man in Babylon" naweza kukutumia soft copy au kukununulia kabisa hard copy kama unapenda kusoma vitabu.

Ubarikiwe
Naomba ntumie soft copy
 
Zifuatazo ni mbinu/njia za Kupata mtaji
1.kuuza baadhi ya Mali ulizonazo kama mifugo,shamba,miti,n.k

2.kucheza upatu

3.bahati nasibu

4.msaada kutoka kwa ndugu ,jamaa Na marafiki

5.akiba uliyojiwekea mwenyewe

6.zawadi kutoka kwa watu wako wa karibu

5.kutumia kipaji ulichonacho kuingiza Pesa Na hatimae ukapata mtaji wa kuendeleza biashara uipendayo

6.kufanya Kazi kwa matajiri ila hii hapa haikuhusu wewe



Lakini pia unaweza, ukaanzisha miradi midogo midogo Na hatimaye ukakuza bland Yako Na kuanzisha kiwanda kidogo NYUMBANI kwako kama vile anza Na mtaji kidogo kwa kutengeneza Sabuni ya maji,au ufugaji wa Kuku kwa kutotolesha Vifaranga kwa njia za asili Na Kupata Vifaranga wengi utakaouza Na kujipatia kipato cha ziada,tambi ,crips na mengine mengi nipo Tayari kukufundisha masomo hayo bila malipo ila labda kama unahitaji Kitabu ndo utalipia fedha ya Kitabu ila ukipata muda Na ukawa interest Na somo lolote lile nipigie Simu 0743550599 Na nitakufundisha bure bila malipo


Mafanikio mema Mkuu!!
 
Du watu kwa fursa hawajambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…