Manunuzi /safari zote za nje zinahitaji fedha za kigeni; na pale zinapokosekana ndipo suala la kukopa linapokuja.Tatizo la uhaba wa dollars linakuzwa sana utadhani lina athari. Kwanza tuanzie hapa; Kwanini watu wanataka kununua dollars?
Mdogo wangu ana akaunti ya Tsh pale CRDB na anafanya biashara ya spare part za pikipiki na generators.Manunuzi /safari zote za nje zinahitaji fedha za kigeni; na pale zinapokosekana ndipo suala la kukopa linapokuja.
Mdogo wangu ana akaunti ya Tsh pale CRDB na anafanya biashara ya spare part za pikipiki na generators...
Kumbe hata hujui kwanini wanazitaka dola alafu unasema watu wanakuza mambo?Tatizo la uhaba wa dollars linakuzwa sana utadhani lina athari. Kwanza tuanzie hapa; Kwanini watu wanataka kununua dollars?
Ela ndiyo nini sasa? Wengine muko JF ila hamjasoma hata ngumbaru!! Mtatusumbua sanaDolla ni standard katika kubadilishana, maana yake popote inakubalika; ata ukienda zimbabwe utanunua vitu kwa ela ya zimbambwe, sasa kama huna ela ya zimbabwe, itakulazimu utumie dolla kwenda ela ya zimbabwe.
Hata mzungu anapokuja hapa kwetu, atatumia ela yake (dolla au euro n.k) na kuibadilisha ili apate ela ya kwetu ili aweze kufanya matumzi yake.
Ukiwa na akili kisoda huwezi kunielewa!! Wewe soma tu uelewesheKumbe hata hujui kwanini wanazitaka dola alafu unasema watu wanakuza mambo?
Hiyo simu yako ya tecno unadhani kana sio dola ungekaa uione bongo?
Hakununua kwa Yuan. Alinunua kwa dola. Dola zikiingia kwenye serikali ya China.Mdogo wangu ana akaunti ya Tsh pale CRDB na anafanya biashara ya spare part za pikipiki na generators.
Mwaka jana mwezi September alisafiri kwenda Gwangzhou na Visa Card yake kutoka CRDB Bank.
Kabla ya safari alikwenda branch yake akawaambia anasafiri kwenda kufunga mzigo wa kama USD 20,000 (sawa na Tsh 50 Million).
Walichofanya wakamuongezea limit ya ku-draw ATM akiwa kule Guangzhou. Dogo alisafiri na akafunga mzigo bila kununua dola hata moja. Alinunua mzigo kwa Chinese Yuan.
Nashangaa wasio na mahitaji ya dollas ndiyo wanalalamika kuwa dollas hazipo na zikipatikana bei iko juu
Mbona unaleta ubishi wa kijijini? Mimi mwenyewe nimesafiri sana nilipokuwa corporate staff. Kila shopping nilikuwa nafanya kwa viza card iwe Dubai, Johannesburg au London. Nikiwa JOBURG nikitaka hard cash, nina draw inanipa South African RandHakununua kwa Yuan. Alinunua kwa dola. Dola zikiingia kwenye serikali ya China.
Mambo.Mbona unaleta ubishi wa kijijini? Mimi mwenyewe nimesafiri sana nilipokuwa corporate staff. Kila shopping nilikuwa nafanya kwa viza card iwe Dubai, Johannesburg au London. Nikiwa JOBURG nikitaka hard cash, nina draw inanipa South African Rand
Kama hujui Visa Card inavyofanya kazi uliza uelezwe
Kama Benki kuu ina akiba ya Yuan, transactions China zitakuwa in Yuan as long as Benki kuu na hiyo benki unayoitumia zina makubaliano.Mambo.
Wanachofanya wanachukua hela yako wanaibadili kwenda kwenye dola kwanza halafu wanachukua dola wanabadili kwenda kwenye hela yao. Hapo unakuta umekatwa hela maradufu na exchange rate ni kubwa sana.
Nilitumia account ya CRDB nikatoa XOF hayo makato na exchange ni balaa.
Nikatumia account ya dola ya EXIM kutoa hela makato yakawa madogo.
So hakuna direct exchange kaa chini upige mahesabu vyema.
Wewe na usomi wako umevumbua nini?Ela ndiyo nini sasa? Wengine muko JF ila hamjasoma hata ngumbaru!! Mtatusumbua sana
Ninasikiliza DW hapa, kuna bwana mmoja anasema,
"kufungwa kwa Maduka hayo mtaani kumepekea bei ndani ya mabenki kuwa kubwa, pia anasema dola ipo mtaani tatizo watu wanashindwa kuzibadili sababu ya bei ndogo kwenye mabenki." so anashauri maduka hayo yafunguliwe.
Nijuavyo mimi dola hupungua sababu ya low export au manunuzi makubwa nje ya nchi ambayo hutumia dola.
wachumi, nipeni mwanga.
Kwani Magu bado anatawala nchi hii?Ninasikiliza DW hapa, kuna bwana mmoja anasema,
"kufungwa kwa Maduka hayo mtaani kumepekea bei ndani ya mabenki kuwa kubwa, pia anasema dola ipo mtaani tatizo watu wanashindwa kuzibadili sababu ya bei ndogo kwenye mabenki." so anashauri maduka hayo yafunguliwe.
Nijuavyo mimi dola hupungua sababu ya low export au manunuzi makubwa nje ya nchi ambayo hutumia dola.
wachumi, nipeni mwanga.
Sasa nikujibu nini hapa.Wewe na usomi wako umevumbua nini?
Nilitegemea useme kuna chombo umekituma mweziniSasa nikujibu nini hapa.