Ina maana unawaona FED ni wajinga kufanya maamuzi ya kupunguza inflation iliyokuwa kwenye 9%?Ulidanganywa na nani? Kiuchumi mfumuko wa bei wa 6-10% ndio unakuza uchumi.
Wa zaidi ya hapo ni maumivu na ndio maana unaona Tanzania uchumi unapaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana unawaona FED ni wajinga kufanya maamuzi ya kupunguza inflation iliyokuwa kwenye 9%?Ulidanganywa na nani? Kiuchumi mfumuko wa bei wa 6-10% ndio unakuza uchumi.
Wa zaidi ya hapo ni maumivu na ndio maana unaona Tanzania uchumi unapaa
Ukiwa na level ya uchumi mkubwa kama wao yaani developed economy inflation rate inatakiwa kuwa chini ya 3..Ina maana unawaona FED ni wajinga kufanya maamuzi ya kupunguza inflation iliyokuwa kwenye 9%?
Kwa hiyo aliingia ili atuongezee shida na sio nafuu ndo unamaanisha?Dikteta aliharibu mifumo na mizizi ya uchumi ninyi mkabakia kukenua tu. Mama kaingingia hana pa kushika inabidi akope sana ili mambo yaende.
Kwahiyo pesa nyingi inaishia kwenye kulipa madeni.
Kimsingi huwezi kufanya malinganisho kati ya utawala ule na huu ambao unajikongoja kuinusuru nchi
Unaposema mlo mmoja unamaanisha nn?Kuhusu mkopo nakushangaa.
Huwezi kuwa una shida unakula mlo mmoja ya una uhakika nao kisha ukaenda kukopa ukaongeza shida hata huo mlo mmoja ukakusumbua alafu ukajisufia.
Nilijua Mama anakusanya analipa madeni kumbe anakopa analipa madeni sasa sisawa na kujaza maji kwenye tenga kama ndo hivyo sasa.Dikteta aliharibu mifumo na mizizi ya uchumi ninyi mkabakia kukenua tu. Mama kaingingia hana pa kushika inabidi akope sana ili mambo yaende.
Kwahiyo pesa nyingi inaishia kwenye kulipa madeni.
Kimsingi huwezi kufanya malinganisho kati ya utawala ule na huu ambao unajikongoja kuinusuru nchi
Angalia daraja la jangwani,tetesi tu na mipango, morogoro express tuliambia kesha patikanaDikteta aliharibu mifumo na mizizi ya uchumi ninyi mkabakia kukenua tu. Mama kaingingia hana pa kushika inabidi akope sana ili mambo yaende.
Kwahiyo pesa nyingi inaishia kwenye kulipa madeni.
Kimsingi huwezi kufanya malinganisho kati ya utawala ule na huu ambao unajikongoja kuinusuru nchi
Hivi mradi wa bomba la Gas toka Mtwara to Dar pesa yake ilikopwa wapi?Usidharau hoja yake. Labda ni kwa vile ameitoa kishabiki.
Utawala wa awamu ya 5, baada ya kuharibu maeneo mengi kwenye ngazi ya kimataifa, na kisha kukosa pesa na kukosa kupata pesa kutoka taasisi za kimataifa, na huku watawala hawapendi waaibike, waliishia kukopa pesa kutoka mabenki ya biashara kwa riba kubwa.
Kinachofanyika sasa, wanakopa kutoka taasisi za fedha za kimataifa zenye riba ndogo, halafu wanaenda kulipa deni lenye riba kubwa ili nchi ibakie na deni lenye riba ndogo.
Exim Bank iliikopesha Tanzania mabilion ya fedha kwaajili ya mradi bomba la Gas toka Mtwara to Dar Kinyerezi ikiwa awamu ya 4! Vip mzee jakaya aligombana na wafadhiri wa nje na mashirika yakimataifa?Wewe unaishi nchi gani? Kila siku taarifa zinatolewa, husikii!!
Kuna mkopo utawala wa awamu ya 5 ilichukua toka Barclays Bank wenye riba ya 8% (linganisha na mikopo ambayo huwa inatolewa na mashirika ya fedha kama WB yenye riba ya 1 - 3%).
Umeeleza vzur sanaKwa hapa Tanzania, tunapitia mengi zaidi ya mzunguko wa pesa na inflation.
Unatakiwa pia ufahamu ni nini huwa kinasababisha inlation, na nini kinasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa au mdogo.
Hali ya sasa inachangiwa na mambo makubwa manne:
1) Uchumi uliharibiwa sana wakati wa awamu ya 5, kiasi cha kuondoa pesa nyingi sana kwenye mzunguko:
= kwa sababu ya kugandamiza demokrasia na haki za watu, tulifutiwa pesa ya MCC zaidi ya sh 1.4 trillion, tuliyokuwa tunapata kila mwaka, pesa ya bure siyo mkopo, yenye masharti makubwa mawiloli, nchi iheshimu haki za binadamu na demokrasia. Pesa hii ilikuwa inatoka nje na kuingia nchini, ikiongeza mzunguko wa fedha, ajira na akiba ya fedha za kigeni, kwa ujinga tu, tukaipoteza. Tulikuwa tunapewa nchi 2 tu, Tz na Ghana katika bara la Afrika.
- Kutokana na utawala wa kidikteta, mataifa yanayochangia bajeti ya maendeleo yalipunguza mchango wake kwa zaidi ya 50%. Mpaka sasa, michango yao haijarudi kufikia ilipokuwa kabla ya kupunguza.
= Kutokana na sera mbaya za uchumi, kodi na uwekezaji, makampuni zaidi ya 500, ya ndani na nje, yaliondoka Tanzania. Haya maana yake yalipunguza pesa iliyokuwemo nchini na iliyokuwa inaingia nchini.
= mbaya zaidi baada ya kuvuruga uchaguzi wa 2020, na kutokuwa na kambi rasmi ya upinzani bungeni, tukakosa sifa ya kupata msaada wa zaidi ya trilioni 1 3 toka Jumuia ya Madola. Walipokuja kushtuka kuwa wataikosa hii pesa kutokana na ushenzi uliofanyika kwenye uchaguzi, zilifanyika jitihada kubwa za kutaka wapinzani waingie bungeni, lakini walikuwa wamechelewa, mbinu zote zikagonga mwamba, covid 19 hawakusaidia kitu kwa sababu hawawezi kufikia 14% ili wawe na sifa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani kama sheria inavyotaka.
Mambo haya yaliondoa pesa nyingi sana kwenye mzunguko.
2) Kupungua kwa uwekezaji. Uwekezaji, hasa wa nje, huwa unaleta mitaji kutoka nje. Wakati wa awamu ya 5, ukuuaji wa uwekezaji uliporomoka kutoka 28% mpaka 4%.
3) Kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mauzo ya nje. Thamani ya mauzo ya nje ya mazao, wakati wa awamu ya 5 yaliporomoka kwa 50%, mpaka leo, hali haijarudi kufikia mahali tulipokuwa. Hali hiyo pia ulizikumba sekta nyingine kama za utalii na madini. Japo absolute nambers zilionesha kuna ongezeko lakini kulikuwa na poromoko kubwa katika ukuuaji.
4) Kupanda sana kwa gharama za uzalishaji kulikochangiwa na covid 19 na vita vya Ukraine. Covid 19, kwetu sisi kwa kiasi kikubwa kulitusaidia sana kwenye mafuta. Bei ya mafuta ilidondoka kwa zaidi ya 50%, na hivyo kufanya uzalishaji wa ndani na usafirishaji unaotegemea nishati ya mafuta, kuwa nafuu sana, japo bei za bidhaa za kutoka nje zilikuwa juu. Hali ikabadilika sana baada ya vita vya Ukraine iliyosababisha bei ya mafuta kupanda maradufu, na hivyo kupandisha bei ya kila kitu.
Mwisho, tunachokiona sasa, kina mchango mkubwa sana wa utawala uliotangulia. Kwa sababu zile pesa za msaada za bure hazipo, wanalazimika kukopa sana. Wawekezaji wengi walioondoka wakati wa awamu ya 5 hawajarudi, na wengine hawatarudi tena.
Uchumi kuuharibu ni rahisi sana, uharibifu unaweza kufanyika hata kwa mwezi mmoja tu, lakini kurekebisha inaweza kuchukua zaidi ya miaka 10. Yanayofanyika sasa, madhara yake, yawe positive au negative, tutaanza kuona zaidi kuanzia miaka mitano ijayo.
Kwa kawaida, inflation haijawahi kusimama ila hutofautiana katika viwango. Inflation siyo mbaya kama mzunguko wa pesa ukiwa mzuri.
Kwa sasa wengi wanashuhudia hali ngumu kwa sababu kuna yote mawili, inflation ipo juu, na mzunguko wa fedha bado upo chini.
Nimeona leo Uingereza wanaandamana sababu ni mfumuko wa bei na maisha magumu bwashekhe! Kumbe ndiyo uchumi wao unakua hivo! Bas hawana elimu embu kawaelimishe iaseeUlidanganywa na nani? Kiuchumi mfumuko wa bei wa 6-10% ndio unakuza uchumi.
Wa zaidi ya hapo ni maumivu na ndio maana unaona Tanzania uchumi unapaa
Kama wewe ni maskini, usidhani wote ni maskini. Mimi siyo maskini kwa kipimo chochote cha Taifa lolote.Maneno yote haya ni sababu ya umaskini tu. Amini ya kwamba ungekua tajiri usingeandika kilio hiki Cha uchungu. Tafuta pesa
Mshahara wa sekta gani ulioongezeka? Kwa kiasi gani?Ningependa kupewa ufafanuzi wa kiuchumi ni hali ipi huwa ina unafuu
A. Mzunguko wa pesa kuwa mdogo ila bei za bidhaa / huduma ni kawaida.
Awamu hii ilisifika kwa msemo maarufu vyuma vimekaza, mzunguko wa pesa ulipungua kwa sababu biashara nyingi zilifufungwa ama kusua sua, hakukuwa na ongezeko lolote la mishahara, pesa mtaani ilipungua sana yani , hata ile nguvu ya kununua ilipungua ila be zilikuwa kawaida
B. Mzunguko wa pesa kufufuka ila bei zinakuwa zimepanda
Kwa sasa biashara nyingi sana zinafunguliwa na hata zile zilizofunga virago awamu iliyopita zimerudi,
mishahara nayo imeongezeka, ndivyo vitu vikuu vilivyoongeza mzunguko wa pesa ila bei nazo zimepanda,
Nasikia watumishi walilambishwa asali🍯Mshahara wa sekta gani ulioongezeka? Kwa kiasi gani?
Kwa mifano yote uliyotoa, hakuna nafuu, kwani bidhaa hainunuliki!
Baadhi ya Taasisi za serikali..mashahara umeongozeka after mwendazake..kuna rafiki yangu (yupo NSSF) kapanda kutoka gross ya 2.9 Million hasi 4.7Mshahara wa sekta gani ulioongezeka? Kwa kiasi gani?
Kwa mifano yote uliyotoa, hakuna nafuu, kwani bidhaa hainunuliki!
Sasa taasisi za mifuko ya jamii zinachukua asilimia ngapi ya WaTz wote kiasi cha kupewa kipaumbele katika mustakabali wa uchumi?Baadhi ya Taasisi za serikali..mashahara umeongozeka after mwendazake..kuna rafiki yangu (yupo NSSF) kapanda kutoka gross ya 2.9 Million hasi 4.7
Serikali kuu ndio wamesahaurika..ila sekta kama NSSF,PSSSF,TRA,TCRA wapo vizuri and have been seen large scale of increments in their salary
fanyakaziacha uvivumzukonimkbwasanaUnategemea kuwe na mvua ya pesa ? ingia mtaani kapige kazi mkuu