Wachumi, ni wapi pana nafuu kati ya awamu ya tano na ya sita?

Ulidanganywa na nani? Kiuchumi mfumuko wa bei wa 6-10% ndio unakuza uchumi.

Wa zaidi ya hapo ni maumivu na ndio maana unaona Tanzania uchumi unapaa
Ina maana unawaona FED ni wajinga kufanya maamuzi ya kupunguza inflation iliyokuwa kwenye 9%?
 
Ina maana unawaona FED ni wajinga kufanya maamuzi ya kupunguza inflation iliyokuwa kwenye 9%?
Ukiwa na level ya uchumi mkubwa kama wao yaani developed economy inflation rate inatakiwa kuwa chini ya 3..

Developing economies kama Tanzania inflation rate haitakiwi kuzidi 10%
 
Kwa hiyo aliingia ili atuongezee shida na sio nafuu ndo unamaanisha?

Kama magufuli mlisema nchi itamshinda na akenda nayo miaka mitano bila kuyumba sasa mwaka mmoja tu inchi kila mtu ahata aliye fulahi kifo Cha magufuli anajuta.
Wamebaki walio karibu na jiko tu ndi wanafulana na sasa hawsemi vyuma vimekaza.

Kuhusu mkopo nakushangaa.
Huwezi kuwa una shida unakula mlo mmoja ya una uhakika nao kisha ukaenda kukopa ukaongeza shida hata huo mlo mmoja ukakusumbua alafu ukajisufia.
 
Kuhusu mkopo nakushangaa.
Huwezi kuwa una shida unakula mlo mmoja ya una uhakika nao kisha ukaenda kukopa ukaongeza shida hata huo mlo mmoja ukakusumbua alafu ukajisufia.
Unaposema mlo mmoja unamaanisha nn?
 
Nilijua Mama anakusanya analipa madeni kumbe anakopa analipa madeni sasa sisawa na kujaza maji kwenye tenga kama ndo hivyo sasa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Angalia daraja la jangwani,tetesi tu na mipango, morogoro express tuliambia kesha patikana
 
Hivi mradi wa bomba la Gas toka Mtwara to Dar pesa yake ilikopwa wapi?
 
Wewe unaishi nchi gani? Kila siku taarifa zinatolewa, husikii!!

Kuna mkopo utawala wa awamu ya 5 ilichukua toka Barclays Bank wenye riba ya 8% (linganisha na mikopo ambayo huwa inatolewa na mashirika ya fedha kama WB yenye riba ya 1 - 3%).
Exim Bank iliikopesha Tanzania mabilion ya fedha kwaajili ya mradi bomba la Gas toka Mtwara to Dar Kinyerezi ikiwa awamu ya 4! Vip mzee jakaya aligombana na wafadhiri wa nje na mashirika yakimataifa?
 
Umeeleza vzur sana
 
Ulidanganywa na nani? Kiuchumi mfumuko wa bei wa 6-10% ndio unakuza uchumi.

Wa zaidi ya hapo ni maumivu na ndio maana unaona Tanzania uchumi unapaa
Nimeona leo Uingereza wanaandamana sababu ni mfumuko wa bei na maisha magumu bwashekhe! Kumbe ndiyo uchumi wao unakua hivo! Bas hawana elimu embu kawaelimishe iasee
 
Maneno yote haya ni sababu ya umaskini tu. Amini ya kwamba ungekua tajiri usingeandika kilio hiki Cha uchungu. Tafuta pesa
Kama wewe ni maskini, usidhani wote ni maskini. Mimi siyo maskini kwa kipimo chochote cha Taifa lolote.

Hata inflation iki-double, hutanisikia nikilalamika kuwa maisha magumu. Lakini Watanzania ni wenzangu, kinachowasibu nami kinanigusa.

Hata chini ya utawala mbaya kabisa ule wa awamu ya 5, binafsi sikuwahi kushuhudia ugumu wa maisha, zaidi ni kwa sababu mapato yangu yanavuka mipaka ya nchi.
 
Mshahara wa sekta gani ulioongezeka? Kwa kiasi gani?
Kwa mifano yote uliyotoa, hakuna nafuu, kwani bidhaa hainunuliki!
 
Mshahara wa sekta gani ulioongezeka? Kwa kiasi gani?
Kwa mifano yote uliyotoa, hakuna nafuu, kwani bidhaa hainunuliki!
Nasikia watumishi walilambishwa asali🍯

Mshahara wa sekta gani ulioongezeka? Kwa kiasi gani?
Kwa mifano yote uliyotoa, hakuna nafuu, kwani bidhaa hainunuliki!
Baadhi ya Taasisi za serikali..mashahara umeongozeka after mwendazake..kuna rafiki yangu (yupo NSSF) kapanda kutoka gross ya 2.9 Million hasi 4.7

Serikali kuu ndio wamesahaurika..ila sekta kama NSSF,PSSSF,TRA,TCRA wapo vizuri and have been seen large scale of increments in their salary
 
Mzunguko unyong'onyezwe na awamu ya Tano ghafra unoge awamu ya sita Hilo fuvu lako ni la kutumzia kamasi tu?
 
Sasa taasisi za mifuko ya jamii zinachukua asilimia ngapi ya WaTz wote kiasi cha kupewa kipaumbele katika mustakabali wa uchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…