Wachumi tuambieni parameters atakazotumia makonda kushusha bei za vinywaji

Wachumi tuambieni parameters atakazotumia makonda kushusha bei za vinywaji

Je?
1.TRA ITASIMAMISHA WAJIBU WAKE KWA 6 HRS?

2.MASHINE ZA MALIPO ZITAKUWA MUTED?

3.SERIKALI ITATOA SUBSIDY?

AU ITAKUWAJE? maana naibu rahiisi kasema hashindwi kwa tangazo hili lisilo na mipaka ndani ya jamhuri!

Mbeya jiandaeni kula gambe!!
Ungeleta kwanza "the whole story" kisha ndo tukuze baraza
 
Je?
1.TRA ITASIMAMISHA WAJIBU WAKE KWA 6 HRS?

2.MASHINE ZA MALIPO ZITAKUWA MUTED?

3.SERIKALI ITATOA SUBSIDY?

AU ITAKUWAJE? maana naibu rahiisi kasema hashindwi kwa tangazo hili lisilo na mipaka ndani ya jamhuri!

Mbeya jiandaeni kula gambe!!
Nadhani anaweza kutenga maeneo maalum ambayo watapata subsidises ili watoe punguzo. Lakin nadhan itakuwa ngumu sana kucontrol hiyo kitu kila mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom