Ungeleta kwanza "the whole story" kisha ndo tukuze barazaJe?
1.TRA ITASIMAMISHA WAJIBU WAKE KWA 6 HRS?
2.MASHINE ZA MALIPO ZITAKUWA MUTED?
3.SERIKALI ITATOA SUBSIDY?
AU ITAKUWAJE? maana naibu rahiisi kasema hashindwi kwa tangazo hili lisilo na mipaka ndani ya jamhuri!
Mbeya jiandaeni kula gambe!!
Nadhani anaweza kutenga maeneo maalum ambayo watapata subsidises ili watoe punguzo. Lakin nadhan itakuwa ngumu sana kucontrol hiyo kitu kila mahali.Je?
1.TRA ITASIMAMISHA WAJIBU WAKE KWA 6 HRS?
2.MASHINE ZA MALIPO ZITAKUWA MUTED?
3.SERIKALI ITATOA SUBSIDY?
AU ITAKUWAJE? maana naibu rahiisi kasema hashindwi kwa tangazo hili lisilo na mipaka ndani ya jamhuri!
Mbeya jiandaeni kula gambe!!
50%Ukinijulisha atashusha kwa asilimia ngapi nitakufahamisha atatumia njia ipi.
Nusu bei ni punguzo la 50%..twende kazi!Ukinijulisha atashusha kwa asilimia ngapi nitakufahamisha atatumia njia ipi.
Nafikiri akitenga M5 itawezekana maana huko bia wananunua buku jeloNamba 3 au akitenga mil 5 tu inaweza kufanya hiyo kazi na chenji ikabaki.
πππ