Wachungaji KKT washtushwa uchafu wa Vyoo vya Chuo Kikuu UDOM

TheCrocodile

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2021
Posts
1,864
Reaction score
5,254
Mazingira ya vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) yanatisha. Hapa ndipo Wachungaji wa KKKT tumekuja kufanyia mkutano wetu kitaifa!
Mimi kama Mchungaji nilijisikia vibaya sana na hasa nilipoona mazingira haya ya vyoo.

Mkutano Mkuu wa KKKT hufanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya wageni kufika tulipelekwa katika mabweni, hali tuliyoikuta ni ya kusikitisha na ya kutia aibu. Vitanda vingi ni vibovu huku baadhi ya vyumba havina ngazi za kufikia vitanda vya juu, taa za vyumbani nazo zimeharibika, na hali ya vyoo ni mbaya sana, kama inavyoonekana katika picha hizi.

Mimi niliyeiona hali hii sio mwanafunzi, bali ni mchungaji aliyefika hapa kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa KKKT. Hali hii inazua maswali mazito kuhusu utunzaji wa miundombinu na mazingira ambayo wageni wanapokelewa.

Tunajiuliza: Je, ni sahihi wageni tuliokuja hapa kushiriki mkutano mkubwa sana wa kitaifa wa Kanisa kulazwa katika mazingira ya namna hii wakati Kanisa limelipa pesa nyingi sana? Hivi uongozi wa Chuo haukuweza hata kufikiria pia ili kutumia sehemu ya pesa hizo kukarabati au kuweka vyoo katika hali ya usafi?

Lakini hili si suala la anasa, bali hili ni suala la heshima, usalama, afya na utu wa watu wote wanaotumia huduma hizi. Huku vitanda vibovu, ukosefu wa ngazi, taa zilizoharibika na vyoo visivyo katika hali nzuri vinaweza kuhatarisha usalama na afya za watumiaji.

Tunaziomba mamlaka husika kuchukua hatua za haraka. Miundombinu hii inahitaji ukarabati, usafi wa kina na matengenezo ya kudumu. Si vyema kusubiri mpaka mtu aanguke kitandani, apate madhara au hata ugonjwa ndipo hatua zichukuliwe.

UDOM ni taasisi kubwa yenye hadhi. Inastahili kuwa na mazingira bora, salama na pia yenye heshima kwa wanafunzi, wageni na viongozi wote wanaofika hapo.

1789996554833.png

Mch. N. J. M.,
Mshiriki wa Mkutano wa KKKT Taifa, Dodoma
13 Septemba 2026
 
Video: 41K views · 557 reactions | WACHUNGAJI KKKT WASHTUSHWA UCHAFU WA VYOO VYA CHUO KIKUU (UDOM). Baba Askofu Mwamakula! Mazingira ya vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) yanatisha. Hapa ndipo Wachungaji wa KKKT tumekuja kufanyia mkutano wetu kitaifa! Mimi kama Mchungaji nilijisikia vibaya sana na hasa nilipoona mazingira haya ya vyoo. Mkutano Mkuu wa KKKT hufanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya wageni kufika tulipelekwa katika mabweni, hali tuliyoikuta ni ya kusikitisha na ya kutia aibu. Vitanda vingi ni vibovu huku baadhi ya vyumba havina ngazi za kufikia vitanda vya juu, taa za vyumbani nazo zimeharibika, na hali ya vyoo ni mbaya sana, kama inavyoonekana katika picha hizi. Mimi niliyeiona hali hii sio mwanafunzi, bali ni mchungaji aliyefika hapa kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa KKKT. Hali hii inazua maswali mazito kuhusu utunzaji wa miundombinu na mazingira ambayo wageni wanapokelewa. Tunajiuliza: Je, ni sahihi wageni tuliokuja hapa kushiriki mkutano mkubwa sana wa kitaifa wa Kanisa kulazwa katika mazingira ya namna hii wakati Kanisa limelipa pesa nyingi sana? Hivi uongozi wa Chuo haukuweza hata kufikiria pia ili kutumia sehemu ya pesa hizo kukarabati au kuweka vyoo katika hali ya usafi? Lakini hili si suala la anasa, bali hili ni suala la heshima, usalama, afya na utu wa watu wote wanaotumia huduma hizi. Huku vitanda vibovu, ukosefu wa ngazi, taa zilizoharibika na vyoo visivyo katika hali nzuri vinaweza kuhatarisha usalama na afya za watumiaji. Tunaziomba mamlaka husika kuchukua hatua za haraka. Miundombinu hii inahitaji ukarabati, usafi wa kina na matengenezo ya kudumu. Si vyema kusubiri mpaka mtu aanguke kitandani, apate madhara au hata ugonjwa ndipo hatua zichukuliwe. UDOM ni taasisi kubwa yenye hadhi. Inastahili kuwa na mazingira bora, salama na pia yenye heshima kwa wanafunzi, wageni na viongozi wote wanaofika hapo. Mch. N. J. M., Mshiriki wa Mkutano wa KKKT Taifa, Dodoma 13 Septemba 2026 | Emmaus Bandekile Mwamakula

Mch. N. J. M.,
Mshiriki wa Mkutano wa KKKT Taifa, Dodoma
13 Septemba 2026
Kwa nini hamkwenda Makumira?
 
Hii nayo ni lawama kwa CCM 😆
Hapo kwenye usafi wa vyoo wanaionea tu CCM, japo unaweza kukuta chuo kina uhaba wa maji ambao ni wajibu wa CCM.

Watanzania wengi ni wachafu sana chooni, ushahidi ni kwenye vyoo vya stendi, hotel za kula mabasi hospitali na bar.
 
Ni Kweli Vyoo vya UDOM havifai, vichafu sana
 
Mazingira ya vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) yanatisha. Hapa ndipo Wachungaji wa KKKT tumekuja kufanyia mkutano wetu kitaifa!
Mimi kama Mchungaji nilijisikia vibaya sana na hasa nilipoona mazingira haya ya vyoo.

Mkutano Mkuu wa KKKT hufanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya wageni kufika tulipelekwa katika mabweni, hali tuliyoikuta ni ya kusikitisha na ya kutia aibu. Vitanda vingi ni vibovu huku baadhi ya vyumba havina ngazi za kufikia vitanda vya juu, taa za vyumbani nazo zimeharibika, na hali ya vyoo ni mbaya sana, kama inavyoonekana katika picha hizi.

Mimi niliyeiona hali hii sio mwanafunzi, bali ni mchungaji aliyefika hapa kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa KKKT. Hali hii inazua maswali mazito kuhusu utunzaji wa miundombinu na mazingira ambayo wageni wanapokelewa.

Tunajiuliza: Je, ni sahihi wageni tuliokuja hapa kushiriki mkutano mkubwa sana wa kitaifa wa Kanisa kulazwa katika mazingira ya namna hii wakati Kanisa limelipa pesa nyingi sana? Hivi uongozi wa Chuo haukuweza hata kufikiria pia ili kutumia sehemu ya pesa hizo kukarabati au kuweka vyoo katika hali ya usafi?

Lakini hili si suala la anasa, bali hili ni suala la heshima, usalama, afya na utu wa watu wote wanaotumia huduma hizi. Huku vitanda vibovu, ukosefu wa ngazi, taa zilizoharibika na vyoo visivyo katika hali nzuri vinaweza kuhatarisha usalama na afya za watumiaji.

Tunaziomba mamlaka husika kuchukua hatua za haraka. Miundombinu hii inahitaji ukarabati, usafi wa kina na matengenezo ya kudumu. Si vyema kusubiri mpaka mtu aanguke kitandani, apate madhara au hata ugonjwa ndipo hatua zichukuliwe.

UDOM ni taasisi kubwa yenye hadhi. Inastahili kuwa na mazingira bora, salama na pia yenye heshima kwa wanafunzi, wageni na viongozi wote wanaofika hapo.
Video: 42K views · 557 reactions | WACHUNGAJI KKKT WASHTUSHWA UCHAFU WA VYOO VYA CHUO KIKUU (UDOM). Baba Askofu Mwamakula! Mazingira ya vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) yanatisha. Hapa ndipo Wachungaji wa KKKT tumekuja kufanyia mkutano wetu kitaifa! Mimi kama Mchungaji nilijisikia vibaya sana na hasa nilipoona mazingira haya ya vyoo. Mkutano Mkuu wa KKKT hufanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya wageni kufika tulipelekwa katika mabweni, hali tuliyoikuta ni ya kusikitisha na ya kutia aibu. Vitanda vingi ni vibovu huku baadhi ya vyumba havina ngazi za kufikia vitanda vya juu, taa za vyumbani nazo zimeharibika, na hali ya vyoo ni mbaya sana, kama inavyoonekana katika picha hizi. Mimi niliyeiona hali hii sio mwanafunzi, bali ni mchungaji aliyefika hapa kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa KKKT. Hali hii inazua maswali mazito kuhusu utunzaji wa miundombinu na mazingira ambayo wageni wanapokelewa. Tunajiuliza: Je, ni sahihi wageni tuliokuja hapa kushiriki mkutano mkubwa sana wa kitaifa wa Kanisa kulazwa katika mazingira ya namna hii wakati Kanisa limelipa pesa nyingi sana? Hivi uongozi wa Chuo haukuweza hata kufikiria pia ili kutumia sehemu ya pesa hizo kukarabati au kuweka vyoo katika hali ya usafi? Lakini hili si suala la anasa, bali hili ni suala la heshima, usalama, afya na utu wa watu wote wanaotumia huduma hizi. Huku vitanda vibovu, ukosefu wa ngazi, taa zilizoharibika na vyoo visivyo katika hali nzuri vinaweza kuhatarisha usalama na afya za watumiaji. Tunaziomba mamlaka husika kuchukua hatua za haraka. Miundombinu hii inahitaji ukarabati, usafi wa kina na matengenezo ya kudumu. Si vyema kusubiri mpaka mtu aanguke kitandani, apate madhara au hata ugonjwa ndipo hatua zichukuliwe. UDOM ni taasisi kubwa yenye hadhi. Inastahili kuwa na mazingira bora, salama na pia yenye heshima kwa wanafunzi, wageni na viongozi wote wanaofika hapo. Mch. N. J. M., Mshiriki wa Mkutano wa KKKT Taifa, Dodoma 13 Septemba 2026 | Emmaus Bandekile Mwamakula

Mch. N. J. M.,
Mshiriki wa Mkutano wa KKKT Taifa, Dodoma
13 Septemba 2026
Nyie KKKT ni washikadau wakubwa wa hii serikali dhalimu.
Mungu anawaonesha kwa ushahidi bayana ubovu wa huu utawala.
 
ok.🐒
 
Back
Top Bottom