Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Watu wamedataWe weache wanacheza na Mungu siyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamedataWe weache wanacheza na Mungu siyo
Big point Bro, Unaakili 100 nmependa sana. Hoja yako asipoishika mleta mada basi atakua mtumwa wa Wachungaji wahuni daima.Huo ni utumwa wa hadharani.
Nguruwe amekatazwa agano la kale lakini analiwa tu huku tukisema ni old testament commit.
Zaka iliagizwa kwenye agano la kale lakini mnalazimishwa mpaka sasa na hamshituki kuwa ni maagizo yaliyopitwa na wakati.
Tatzo watu hawasomi maandika wamekalia kusikiliza comedy za wachungaji, mchungaj anahubir watu wanacheka tu si ibada hiyo ni utapeli wa sadaka.Mchungaji kajuaje kuwa hujatoa fungu la kumi!? Wachungaji wanapataje access ya maisha yenu kiasi hiko mpaka kujua kama umetoa au hujatoa zaka!?
Yupo Sahih mkuu, Funguka naona kama na wewe ushatekewa na vibaka wa KirohoMafundisho ya wapi hayo?
Wale jamaa wanajua kucheza na saikolojia wakiona umekuwa mgumu wanaanza vitisho kupitia mistari ya biblia ukiwakazia wanasema shetani keshakuharibu 😀Yupo Sahih mkuu, Funguka naona kama na wewe ushatekewa na vibaka wa Kiroho
Mm sijaona Mchungaji wala kanisa la kuniteka akili dunia hii, japo nimekulia katika dini na nina sali lakini kila kitu nafanya kwa mapenzi yangu na kwa hiali tena sinaga ushoga na stak shobo na wachungaji. Mungu ananitosha.Wale jamaa wanajua kucheza na saikolojia wakiona umekuwa mgumu wanaanza vitisho kupitia mistari ya biblia ukiwakazia wanasema shetani keshakuharibu [emoji3]
ThanksBig point Bro, Unaakili 100 nmependa sana. Hoja yako asipoishika mleta mada basi atakua mtumwa wa Wachungaji wahuni daima.
Je,Mungu in dhaifu hata aibiwe?Samahani kama nitakuwa nimewakwaza ila FUNGU LA KUMI NI LAZIMA. Ki biblia hyo pesa 10% siyo yako, kwahyo ukiitumia kwasababu zozote zile ambazo kibinadamu ni zinaonekana ni za msingi unakosea, unakuwa kama umeiba (umemuibia muumba wako). FULL STOP!!!