greatrwega61
New Member
- Apr 6, 2012
- 3
- 0
Jamani naomba msaada juu ya hili
Kuna watu wanajiita wachungaji/manabii ambao maombi yao siku zote yanalenga kuondoa mapepo,kuondoa mikosi,kuhusisha kila tatizo la kiafya na shetani/mapepo matokeo yake jamii imechanganyikiwa na kusambaratika kiimani,imani za awali zinayumba na waumini wanaongezeka kwa kuona wenzao waliotangulia wanavyofaidi huduma hii,naombeni mchango wa mawazo tunaelekea wapi katika hili!