Wachungaji na walokole, tunagongewa sana wake zetu

Ohh yeah
 
Bujibuji nikiongea watu povu kikundi
 
Hiyo yote ni madhara ya kushiriki tendo kabla ya ndoa, mtu alikuwa anapigwa lisaa wewe ukija na dakika tano unaonekana boya, kuna hasara nyingi za kutoka nje ya ndoa kuliko hiyo raha ya sekunde chache
Hiyo hapana, hata kama huyo ndiye Mme wa kwanza au mtoa bikira, mwili huitaji asikwambie mtu, nilishudia ugomvi mke anahitaji huduma kwa Mme, Mme naye kahamia sehemu nyingine kikazi na huko yupo na kimada akija kwa mke anafanya cha jujuu tena mchana na mkewe anataka alale maana mchana watoto wapo na anashindwa kuenjoy, wenzie wakamshauri atafute wakumliwaza kajibu huyu ndiye Mme wake wakwanza hawezi kudanga nje hajazoea, ninavyokwambia tayari HIV ilishawachukua na Mme ndiye alianza kutangulia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha bangi basi au umepata cha arusha? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa si unaona madhara ya kutoka nje? Huyo alikuwa hampi kabisa mkewe kwa kuwa alikuwa na kimada na ndio sababu ya ugomvi, hawakugombana kwa kuwa anaenda dakika chache au kibamia. Halafu mwili nao sio wa kuuendekeza sana, unatakiwa uuzoeshe mwili wako kukutii. Ipo siku huyo mume atapata matatizo, ataugua au atakufa...utaufanyaje huo mwili uliozoea kufanyishwa kila ukihitaji? Hapa nazungumzia kwa wale ambao ndio maumbile yao ya kingono sio hao wanaomaliza hamu nje
 
Khantwe...Mke mdogo kiumri lakini mkubwa sana kihekima...[emoji119][emoji3]
 
Hiyo yote ni madhara ya kushiriki tendo kabla ya ndoa, mtu alikuwa anapigwa lisaa wewe ukija na dakika tano unaonekana boya, kuna hasara nyingi za kutoka nje ya ndoa kuliko hiyo raha ya sekunde chache
Naam! Aliyemuoa demu wangu wa zamani kama hana pumzi lazima asaidiwe. Nilikazoesha mbio ndefu sana, mwanzoni kalikuwa kanachoka ila kalivyokuja kuzoea acha kabisa. Dakika 30 kawaida sana na zinadi ndiyo kanakaa sawa.

Shalom! shalom!
 
Wewe sio mlokole una pepo mchafu huna uwezo wa kujua maisha ya wana Mungu,nakuonya usichafue wana wa Mungu kwa minajiri binafsi umetenda dhambi itakuwa heri kwako ukitubu.
 
Acheni uboya, pigeni show za kibabe hadi wake zenu wauone utukufu wa Bwana kwenye mboo zenu.
Tukumbushane tu kuwa neno au jina "mungu" litumike vizuri kwa wakati na sivyo ulivyolitumia hapa sio vizuri
 
Hujanielewa mme alikuwa akija mchana tu usiku hayupo inamaana mke hakuwa akiridhika mwishowe kilichofuata ......kweli hakuwa anamjua mwanaume mwingine kwanini hakuwa anaridhika na hiyo dozi ya mchana?
 
Nikipitaga mimi kama hajaolewa atawakimbia wanaume maana nashushaga makombola tu
Naam! Aliyemuoa demu wangu wa zamani kama hana pumzi lazima asaidiwe. Nilikazoesha mbio ndefu sana, mwanzoni kalikuwa kanachoka ila kalivyokuja kuzoea acha kabisa. Dakika 30 kawaida sana na zinadi ndiyo kanakaa sawa.

Shalom! shalom!
 
Acheni kula kitimoto.

Wapi umeshaona kitimoto akapiga show ya maana.? Ndio maana mnashangaa sana mkiskia vijana wa madrasa wanaoa wake wanne wakati nyie mmoja anawapa tabu.

Nikute inbox nikupe darsa kijana. Show ya kikweli haipigwi kwa kwaya na nyimbo za weekend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…