Huu utafiti ni sahihi kwa maana moja, Walokole wameokoka rohoni ila kizazi hakichaokoka.
Vijana wengi wa Kilokole hubeba mimba bila kuolewa.
Katika kusali, walokole hukutana mara kwa mara kwa ajili ya kusali au kuimba.
Huu mkusanyiko wa jinsia tofauti kisayansi na kijamii huwa hautakiwi. Ni lazima tu wataanza kutamaniana.
Wazungu wanasema " keep a social distance from a different sex, age, your boss etc".
Hii ina maana kubwa sana. Hata sisi waafrika kwa asili watoto wa kike na kiume walikuwa hawaruhusiwi kucheza pamoja,
Ninachotaka kusema wake za wachungaji na waumuni wengine starehe yao kubwa ni kujamiana. Kwa hiyo kuna ukweli mdogo sana kwamba hawatoshelezani.
Kama Mchungaji hamtoshelezi mke wake, kuna mawili, anafanya sana tendo la ndoa nje ya mke wake au ana udhaifu wa kuzaliwa. Tendo la Ndoa huwezi kulilazimisha kulifanya kwa muda mrefu kwa sababu ni reflect action ambayo mara nyingi huna maamuzi nayo.
Ninachojua watu ambao wanachapiwa sana wake zao ni wale wenye mke zaidi ya moja na hasa Waislamu. Mwanamme moja ni vigumu sana kuwatosheleza wanawake 2, au 4, na hata 6.
Kila mwanamke anakuwa kwenye heat kwa wakati usioujua wewe na muda ule wewe unakuwa kwenye word round chumba kingine sasa yeye ili kutimiza haja yake ni lazima atoke nje.
Hii ndio maana talaka za ndoa za Kiislamu ni nyingi sana kuzidi za Kikristo.
Waafrika waliokuwa wanaoa mke zaidi ya moja walisema Neno kuwa Kitanda hakizai haramu na Mtoto ni wa mahari uliyotoa bila kujali mke wako amejazwa mimba na nani.