mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
na kweliNi kweli kuna wanawake anajua kabisa nguo aliyovaa ni utata. Lakini bado anapitapita mbele aonekane,,,
sawa tuwangojeNgoja watumishi waje kutoa yao ya moyoni
Ikiwa ulilenga kuzungumzia tamaa za wanaume basi sio vema kusema wachungaji, utawakwaza watu wa imani ya upande huo.
Tamaa ni kitu cha kawaida kwa kila binadamu na sote tumeumbiwa tamaa. Hakuna aliekamilika asiye na tamaa kama ni tamaa ya hela chakula mavazi au tamaa kubwa ya NGONO.
Wanawake wengi wanatumia fursa hii kutumaliza wanaume kwani tafiti zinasema asilimia 85 ya wanaume marijali hushindwa kuzuia tamaa zao za kimwili pale mwanamke anapoanza kumuonyesha vionjo.
Kwanini wanawake mnatesa watu ambao hawatakiwi kufanya ufuska katika jamii. Kwanini wanawake wengi mnapenda kwenda kutega wanaume nyumba za ibada?
Mchungaji kiboko[emoji23][emoji16][emoji3]amechunga kabisa.Naona MCHUNGAJI kufanya maamuzi magumu!
povu la nini mkuu na bible ziko hadharani?Wewe umejuaje,kama mhusika ni mchungaji?
Mbona sioni dalili yoyote ya kuonyesha
kama anayetegwa ni mchungaji? Kwa nini usiseme boss ategwa ofisini kwake?
Wakati mwingine kuna laana tunajiletea sisi au watoto wetu kwa kukosa umakini.
Chukua hatua.
niliongelea tamaa ila kipande hiki kilikua kinamuhusu muhusika kwenye video ambae anateswa na mwanamama unaemuona apoIkiwa ulilenga kuzungumzia tamaa za wanaume basi sio vema kusema wachungaji, utawakwaza watu wa imani ya upande huo.
Andiko lako litaleta dhana ya udini.
Siungi mkono hoja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo heading ya mada yako umeiona au hujui ulichoandika?niliongelea tamaa ila kipande hiki kilikua kinamuhusu muhusika kwenye video ambae anateswa na mwanamama unaemuona apo
nimeiona sana mkuuHiyo heading ya mada yako umeiona au hujui ulichoandika?