mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Tamaa ni kitu cha kawaida kwa kila binadamu na sote tumeumbiwa tamaa. Hakuna aliekamilika asiye na tamaa kama ni tamaa ya hela chakula mavazi au tamaa kubwa ya NGONO.
Wanawake wengi wanatumia fursa hii kutumaliza wanaume kwani tafiti zinasema asilimia 85 ya wanaume marijali hushindwa kuzuia tamaa zao za kimwili pale mwanamke anapoanza kumuonyesha vionjo.
Kwanini wanawake mnatesa watu ambao hawatakiwi kufanya ufuska katika jamii. Kwanini wanawake wengi mnapenda kwenda kutega wanaume nyumba za ibada?