Wachungaji tunzeni siri za makanisa yenu!

Wachungaji tunzeni siri za makanisa yenu!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
[h=2]Wachungaji Msitangazie washirika dhambi ya mtu mwingine![/h] Monday, June 27, 2011
[h=4]“Mchungaji unapotangaza dhambi/makosa ya mtu kwa washirika/waumini kinachotokea ni kwamba yule mtu hata kama ameshatubu kwa Mungu wale washirika watabakia wakimhukumu “fulani alitenda dhambi hii”. Kwa kufanya hivyo watu hao wanabakia na dhambi hiyo hadi siku yao ya kufa. Maana mtu akitubu Mungu humsamehe lakini watu ni vigumu sana kusahau.[/h] [h=4]Na wewe mtu uliyeokoka, mtu akitenda dhambi achana naye, usiweke dhambi yake moyoni mwako bali songa mbele katika kumwangalia Yesu”[/h] Mwinjilisti Obadia alipokuwa akihubiri katika mkutano wa Injili mjini Arusha tarehe 22, June, 2011.
 
In real life context ni vigumu sana kuishi kama unavyosahauri,lakini hili linawezekana kwa msaada wa mungu pekee!!
 
Back
Top Bottom