Wachungaji wa Karne hii wakishiba sadaka wanaungana na dola na tawala onevu ili kulinda maslahi yao

Waumini wa zee paka ambao miongoni mwenu haya yamewakuta mnajisikiaje mnapomuona zee paka akikandia upande wa pili wa siasa za kistaarabu?

1.Mliopigwa na helsb
2.Mliofukuzwa kazi kionezi.
3.Mliopoteza ndugu kimaajabu.
4.Hamjalipwa areas
5.Hamjaongezwa mshahara kwa 5yrs
Nk

Mnajisikiaje zee paka anapotumia sadaka zenu kulipia vipindi kwenye tv kuwakandia upinzani na KUMSIFU mtukufu kwa sadaka zenu?
 
Ni Jambo la kuhuzunisha Sana kuona wachungaji na viongozi wa dini Mambo wanayoyatetea.

Kiongozi wa dini anaweza kuona maovu yanafanyika kwenye Jamii na asiseme kitu atakaa kimya hatakemea hususani Kama uovu umetendwa na wenye mamlaka atavaa miwani ya mbao.

Yuko radhi mwaka mzima ahubiri ubaya wa kutokutoa fungu la kumi lakini kamwe hatainyooshea vidole serikali onevu na kandamizi.

Nchi za afrika baadhi zimefanya chaguzi na nyingine zinatarajia kufanya.Kuna dhuluma na hujuma zinapangwa na kufanywa na wenye mamlaka hapa hutawasikia wachungaji na maaskofu fake wakitahadharisha watakaa kimya.

Wako radhi kununua vipindi kwaajili ya kuwapiga vijembe watu wanaoikosoa serikali utadhani wao ni wasemaji wa serikali lakini hawako tayari kukemea hujuma zinazofanywa dhidi ya wanyonge.

MKISHIBA SADAKA ZA KONDOO MNAJISAHAU ANYWAY NI UJINGA WA KONDOO LAKINI

Na wakiwa na njaa wanaungana na wanasiasa uchwara pamoja na mabeberu kuhujum nchi.
 
Ndio sababu siku hizi siendi kanisani...Kuna wakati nahisi ni pepo lakini nastuka kuwa ni hali ya madhabahu ya Bwana kuingiliwa ndio inanipush kukaa mbali na wafuasi wa shetani wenye Kanzu
 
watumishi wa Mungu waliozishika imani wamebaki wachache sana.
 
Ni Jambo la kuhuzunisha Sana kuona wachungaji na viongozi wa dini Mambo wanayoyatetea.

Kiongozi wa dini anaweza kuona maovu yanafanyika kwenye Jamii na asiseme kitu atakaa kimya hatakemea hususani Kama uovu umetendwa na wenye mamlaka atavaa miwani ya mbao.

Yuko radhi mwaka mzima ahubiri ubaya wa kutokutoa fungu la kumi lakini kamwe hatainyooshea vidole serikali onevu na kandamizi.

Nchi za afrika baadhi zimefanya chaguzi na nyingine zinatarajia kufanya.Kuna dhuluma na hujuma zinapangwa na kufanywa na wenye mamlaka hapa hutawasikia wachungaji na maaskofu fake wakitahadharisha watakaa kimya.

Wako radhi kununua vipindi kwaajili ya kuwapiga vijembe watu wanaoikosoa serikali utadhani wao ni wasemaji wa serikali lakini hawako tayari kukemea hujuma zinazofanywa dhidi ya wanyonge.

MKISHIBA SADAKA ZA KONDOO MNAJISAHAU ANYWAY NI UJINGA WA KONDOO LAKINI
Kwani hujui unaishi katika taifa lililojaa wajinga na mang'ombe kuanzia kichwani Hadi miguuni??
 
na ukifatilia vizuri viongozi wa dini wanaolamba viatu vya dola wengi ni wale wa makanisa ya waroho
 
Ni Jambo la kuhuzunisha Sana kuona wachungaji na viongozi wa dini Mambo wanayoyatetea.

Kiongozi wa dini anaweza kuona maovu yanafanyika kwenye Jamii na asiseme kitu atakaa kimya hatakemea hususani Kama uovu umetendwa na wenye mamlaka atavaa miwani ya mbao.

Yuko radhi mwaka mzima ahubiri ubaya wa kutokutoa fungu la kumi lakini kamwe hatainyooshea vidole serikali onevu na kandamizi.

Nchi za afrika baadhi zimefanya chaguzi na nyingine zinatarajia kufanya.Kuna dhuluma na hujuma zinapangwa na kufanywa na wenye mamlaka hapa hutawasikia wachungaji na maaskofu fake wakitahadharisha watakaa kimya.

Wako radhi kununua vipindi kwaajili ya kuwapiga vijembe watu wanaoikosoa serikali utadhani wao ni wasemaji wa serikali lakini hawako tayari kukemea hujuma zinazofanywa dhidi ya wanyonge.

MKISHIBA SADAKA ZA KONDOO MNAJISAHAU ANYWAY NI UJINGA WA KONDOO LAKINI
Wachungaji uchwara wapo wengi siku hizi
 
Mi nafikiri ni muda muafaka sasa wa kuziangalia hizi sadaka kama bado zinahitajika....na kama zinahitajika je matumizi yake yapo sahihi?

Sababu lengo la sadaka toka zama hizo ilikiwa na kuwapa makuhani marupurupu ili waweze kujikimu ki maisha!! Na zinazobakia ilikiwa ni shughuli za kanisa hasa kujenga masinagogi na kurekebisha ya zamani.

Sasa leo hii sadaka inakwenda kwa Mchungaji na familia yake. Kwa mfano Mchungaji wa kondoo ananunua gari la $120,000.. jamani... kwani kama ni suala la usafiri mbona Noah zipo ewe baba Mchungaji?

Sasa wakishakula sadaka hizi ni lazima wamsifie aliyeko madarakani ili waendelee kuzitumbua zaidi raha mustarehe huku waumini wao wakiwa hoi bin taabani ki maisha.
 
Ni Jambo la kuhuzunisha Sana kuona wachungaji na viongozi wa dini Mambo wanayoyatetea.

Kiongozi wa dini anaweza kuona maovu yanafanyika kwenye Jamii na asiseme kitu atakaa kimya hatakemea hususani Kama uovu umetendwa na wenye mamlaka atavaa miwani ya mbao.

Yuko radhi mwaka mzima ahubiri ubaya wa kutokutoa fungu la kumi lakini kamwe hatainyooshea vidole serikali onevu na kandamizi.

Nchi za afrika baadhi zimefanya chaguzi na nyingine zinatarajia kufanya.Kuna dhuluma na hujuma zinapangwa na kufanywa na wenye mamlaka hapa hutawasikia wachungaji na maaskofu fake wakitahadharisha watakaa kimya.

Wako radhi kununua vipindi kwaajili ya kuwapiga vijembe watu wanaoikosoa serikali utadhani wao ni wasemaji wa serikali lakini hawako tayari kukemea hujuma zinazofanywa dhidi ya wanyonge.

MKISHIBA SADAKA ZA KONDOO MNAJISAHAU ANYWAY NI UJINGA WA KONDOO LAKINI
Na wewe fanya hivyo...
 
Back
Top Bottom