Wachungaji/Wahubiri neno la Mungu ninaowakubali

Wachungaji/Wahubiri neno la Mungu ninaowakubali

King Jody

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
1,834
Reaction score
3,456
Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, jina lipitalo majina yote,

Leo ningependa kuwashirikisha juu ya watumishi wa Mungu, Wachungaji/wahubiri injili ambao nimetokea kuwaelewa sana.

Wapo wengi lakini leo nitawataja baadhi ambao aina yao ya utumishi inataka kufanana,

1. CHRISTOPHER MWAKASEGE

2.DAVID MMBAGA (Huyu ni mchungaji wa kanisa la Wasabato)

Watumishi hawa wa Mungu walimu wazuri hasa kwenye mafunzo ya Biblia na neno la Mungu kwa ujumla,

Wanafundisha kwa mifano hai, hata kama ukiwa mzito kiasi gani utaelewa.




images (5).jpg
maxresdefault (2).jpg
images (6).jpg
maxresdefault (3).jpg
 
Back
Top Bottom