King Jody JF-Expert Member Joined Oct 8, 2022 Posts 1,834 Reaction score 3,456 Oct 2, 2024 #1 Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, jina lipitalo majina yote, Leo ningependa kuwashirikisha juu ya watumishi wa Mungu, Wachungaji/wahubiri injili ambao nimetokea kuwaelewa sana. Wapo wengi lakini leo nitawataja baadhi ambao aina yao ya utumishi inataka kufanana, 1. CHRISTOPHER MWAKASEGE 2.DAVID MMBAGA (Huyu ni mchungaji wa kanisa la Wasabato) Watumishi hawa wa Mungu walimu wazuri hasa kwenye mafunzo ya Biblia na neno la Mungu kwa ujumla, Wanafundisha kwa mifano hai, hata kama ukiwa mzito kiasi gani utaelewa.
Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, jina lipitalo majina yote, Leo ningependa kuwashirikisha juu ya watumishi wa Mungu, Wachungaji/wahubiri injili ambao nimetokea kuwaelewa sana. Wapo wengi lakini leo nitawataja baadhi ambao aina yao ya utumishi inataka kufanana, 1. CHRISTOPHER MWAKASEGE 2.DAVID MMBAGA (Huyu ni mchungaji wa kanisa la Wasabato) Watumishi hawa wa Mungu walimu wazuri hasa kwenye mafunzo ya Biblia na neno la Mungu kwa ujumla, Wanafundisha kwa mifano hai, hata kama ukiwa mzito kiasi gani utaelewa.
King Jody JF-Expert Member Joined Oct 8, 2022 Posts 1,834 Reaction score 3,456 Oct 2, 2024 Thread starter #2
King Jody JF-Expert Member Joined Oct 8, 2022 Posts 1,834 Reaction score 3,456 Oct 2, 2024 Thread starter #3
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 2, 2024 #4 Ila huyu jamaa mahubiri yake asilimia 90 ni sadaka
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Oct 2, 2024 #5 Kuna yule wa mwanza ana asili ya kenya