Wachungaji wetu mtaendelea kutupumbaza mpaka lini?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachungaji wanaojinasibu eti wana uwezo wa kutenda miujiza kama vile kuponya watu, nk.

Binafsi naona huu ni Utapeli uliokomaa na kuvuka mipaka.

Je, Utapeli huu utakomeshwa lini na nani wa kuukomesha?
 
kwani yesu hakufanya miujiza?

naona kazi yake ilikuwa ni kupambana na mapepo,waache wachungaji kama walivyo
 
Hahah wewe utakua umetozwa prophetic consultation sichini ya laki tano na bado busha lipo palepale anayeponya ni Mungu kupitia imani yako ukiingia mikononi mwa walanguz ni utalanguliwa tu maana hawana namna zaid ya kikukusanya vibunda vya mapimbi
 
Mkuu hiyo ni imani kama vile mtu anavyokwenda kwa mganga. Mbona machief mnawaamini na mnavaa hadi hirizi. Tuacheni nasisi tuliochagua jina la Yesu Kristo tuendelee kwenda kwa wachungaji.
 
Na wanaliwa kwelikweli,...kuna siku huku nilipo(mwanza) nilienda kusajili laini kwa wakala anatoa na huduma za kutoa na kuweka fedha, kipindi naendelea na taratibu za usajili akaingia mteja huku kashikilia pesa mkononi akampa wakala huku akimtaka atume kwenda namba ambayo alimtajia,.. wakala alipofikia hatua ya jina akamtaja Boniface mwamposa,mwamba akaitikia kwa kutikisa kichwa akiashiria wakala aachie mzigo uende, ..mwamba alipoondoka ikabidi nimuulize wakala ni mwamposa huyuhuyu wakala akajibu ndio na nikawaida ya yule mteja kufanya vile kila week!
 
Duh
 
Hatari kweli kweli.
 
Back
Top Bottom