Wacongo wangejitambua tangu wakati wa Lumumba wangefika mbali sana

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Hawa Wacongo wangejitambua enzi za Lumumba wakifanikiwa sana wameamua kutumia nguvu ya umma kuungana na kuandamana kuutangazia ulimwengu kwamba wanaibiwa madini yao mwizi wanamfahamu ,na bahati nzuri mwizi anajulikana.

Nawatakia kila kheri kwenye MAPINDUZI .
 
Tunaona matatizo ya wengine lakini yetu hatuyaoni
 
Hao jamaa nimeishi nao Huko Ughaibuni ni vilaza sana,halafu wanapenda sana kufuatilia siasa za Tz sijui huwa wanafaidika na nini,
 
Afrika nani alijitambua wakati wote tunategemea misaada wakati tumezungukwa na fursa na mali lukuki?
 
Yaani huyu mbogamboga anawaona wakongo hawajitambui. Lini nyie mlijitambua? Mbona sisi tuna kila kitu lakni Kongo wanatuzidi kimaendeleo.. halafu sisi hatupigani Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…