Wadada/binti/mama

Deffence kama hizi huwa zinanifanya nisome mara mbili mbili ili nielewe sana.
Mi nadhani kutoa mwili haimaanishi kuwa mdada anataka mume!ujue wengine wanafanya kwa starehe tu kama vile mtu anavyofanya starehe!!!Kina dada jipeni raha!
 
Ha ha ha haaaaa ha aaaaa dah nimeipenda sana hiiiiiiiiiiiiiiiiiii ha ha aaaaaaa but napita tuuuuuuuuuuuu!!
 
eehee..kumbe hii sredi inahusu wakina dada/binti/mama

samahani kwa mleta sredi kwa kuchakachua..opps..

Hivi wewe Lizzy ni wakike au wakiume??
Wewe kama mwanaume unaweza kuandika/kuongea kwa style na kwa perspective nnayotumia mimi?Ningekua mwanaume ningeanzisha thread za kuwaongelea kina baba bila kujiweka kwenye kundi?
 
wababa ruksa jamani kuchangia, wala msijali hata maoni yenu ni muhimu
 




Bibie , sasa naona wewe unataka kupingana na nature,hivi unajua kuwa vyakula vyote tunavyokula vinajenga mwili na kutengeneza hormones ambazo kati ya hizo zimo pia reproduction hormones?Usiniulize tu kama reproduction hormones zisipopunguzwa mwilini kuna madhara gani kwani sitakujibu nitakushauri tu uingie google.
 
Hahahahahahahah lol
St.PK umeniacha hoi lol
Dahh kwa kweli
 
Nakuja mama............halafu sijui ni nani tu leo amenishawishi ninywe Vat 69

Hahaha
Aliekushawishi
Unywe hicho kinywaji
mlete huku nimkumbatie
hahaha lol
maana angeweza kukupa Midori
Wao
colour green hahahalol
 
Sijui tu nikubebee mbeleko gani leo maana unanipa raha kweli........

Hahaha lol
kuna kanga imeandikwa
"UKIPENDA BOGA LIPENDE NA UA LAKE"
Hiyo inatosha kunibebea
Sijala KFC bado
Kwa hiyo bado sijanenepa
Hahaha lol
 
Hahaha lol
kuna kanga imeandikwa
"UKIPENDA BOGA LIPENDE NA UA LAKE"
Hiyo inatosha kunibebea
Sijala KFC bado
Kwa hiyo bado sijanenepa
Hahaha lol




Maua mengine hayapendeki mama,umeshawahi kuiona Black Rose ? Inapatikana katika bustani ya mama Ngina pekee mke wa marehemu Jomo Kenyata sijawahi kuiona sehemu nyingine Duniani,anyway ni lini tutacheza Rugby nina hamu kweli ya kukufunga.
 
Maua mengine hayapendeki mama,umeshawahi kuiona Black Rose ? Inapatikana katika bustani ya mama Ngina pekee mke wa marehemu Jomo Kenyata sijawahi kuiona sehemu nyingine Duniani,anyway ni lini tutacheza Rugby nina hamu kweli ya kukufunga.

Mmhh
Maua yote yanapendeka my dear
inategemea na we mwenyewe
Unayapalilia marangapi?
Je unaweka maji yakutosha?
JeUna prune down wakati wa winter?
Mbolea je?
Hahahah lol

Kuhusu rugby je Una mouth guard
Naogopa kukutoa hayo meno meupe yaliyojipanga
viizurii..
mmmhhh
Hahaha lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…