ok..
hawaridhishani kivipi?? Unatumia kigezo gani kujua?
Kwa hiyo utazunguka kwa wangapi mpaka upate anayekuridhisha?
Wale wote ambao wanaridhishana na ambao hawako kwenye ndoa wamejaribu wangapi??
Naomba unisaidie hapo...
Kwa dunia ya sasa ningekushauri wewe mleta mada kama unaamua kusubiri ufanye hivyo tu kwa usalama wako..[/QUOTE]
Nashukuru sana mpendwa kwa kunitia moyo, maana kila mtu alikua against mimi mpaka nikawa nashindwa kuelewa hii dunia tunaelekea wapi, naamini nitaweza na nitashinda kwa msaada wa mungu