Wadada/binti/mama

Sarafina ndugu yangu, sio wakaka wa sasahivi!!! hata walokole wenyewe hawawezi kuvumiliana mpaka honeymoon ni kwa neema ya Mungu tu!!!

hakuna anayetamani kufanya mwili wake chombo cha starehe, ila utakuta umeshafanya hivyo kutokana na wakati tuliopo na mazingira tuliyojijengea!!

otherwise mawazo yako ni mazuri mama!!
 
Sarafina hamna mtu aliekua against wewe kufanya hivyo ila hawakupokea ushauri wako.Kama unataka unajiweka tu...kwani tatizo liko wapi!
 
sarafina badilisha kichwa cha habari bana tuweze kuchangia. wengine tunaheshim katiba

yaani huyu sarafina ananiongezeaga mahasila tu. mimi nataka kumwaga mabusara yeye hataki kubadilisha title? nimekasirika kweli aisee

Klorokwini mpenzi mabusara yako yanakaribishwa kwa mikono miwili, ongea tu maoni yako na mawazo yako, wababa/kaka wote mnakaribishwa kuchangia
 
Sarafina hamna mtu aliekua against wewe kufanya hivyo ila hawakupokea ushauri wako.Kama unataka unajiweka tu...kwani tatizo liko wapi!

Lizzy mamito nimeona kila mtu anaona kwamba haiwezekani mtu kuishi bila kungonoka, hichi kitu kimenishangaza sana kwamba watu wengi hawawezi kuvumilia je ikitokea umeolewa mumeo kaenda kusoma nje miaka mitano hakuna likizo ndio kusema mtu utatoka nje ya ndoa ama?
 
Hata kama wanaume wa sasa hawawezi mi nadhani ifike mahali wadada tujifunze uvumilivu tu najua ni ngumu lakini ukianza kutune akili yako na kumuomba mungu unaweza tu
 
Tatizo umechukua negative points tu..mimi mwenyewe kuna post nilisema inawezekana tena na ushuda juu!Wapo watu wasioweza kujizuia..kwao sex ni kama chakula na wapo ambao wanaamua wao na sio mwili!
 
Tatizo umechukua negative points tu..mimi mwenyewe kuna post nilisema inawezekana tena na ushuda juu!Wapo watu wasioweza kujizuia..kwao sex ni kama chakula na wapo ambao wanaamua wao na sio mwili!

Ok nimekuelewa sasa my dear nashukuru kwa hilo neno kwenye bold hapo limenipa moyo.
 
Sehemu ya akili inayocontrol ngono ni tofauti sana na sehemu inayocontrol ufahamu na busara za kawaida. Ile ikiamka, akili inahamia sehemu fulani chini ya kitovu, then maamuzi yake...
 
Sehemu ya akili inayocontrol ngono ni tofauti sana na sehemu inayocontrol ufahamu na busara za kawaida. Ile ikiamka, akili inahamia sehemu fulani chini ya kitovu, then maamuzi yake...

heheheheheeeeeeee unaviTUKO kama jina lako
 
dah, mnaongelea nini hapa,
wajameni!!!!!
kungonoka kila upojisikia au?
uvumilivu sio?
 
Mi naombeni Mwongozo...Sarafina1 ni nani wajameni.....mbona ninaelekea kumpenda gafla hivi. mmmmh:juggle:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…