Wadada bwana

Patriot2

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
169
Reaction score
262
Kuna dada mmoja alikuwa rafiki ila nilikuwa namwelewa. Nilivyompa mistari akasema atajifikiria. Baadae akasema hana hisia nami badala yake ana mtu mwingine. Ingawa iliniuma inakubidi nipotezee.

Baada kipindi cha uponyaji kupita nikapata bonge la pisi kali. Yaani ningepata rafiki yangu hii opportunity nimepoteza. Demu mkali sana. Sasa siku moja huyo rafiki akaniuliza kama nina mtu. Mimi nimfowadia hadi picha yaani. Tangu siku hiyo kakata mawasiliano.

My take. Wasichana wengi anakukataa at the same time hataki ufanikiwe katika mahusiano. Wanatumia zaidi ukipata mzuri kuliko yeye.
 
Weka humu picha ya huyo mchumba mzuri
 
My take. Wasichana wengi anakukataa at the same time hataki ufanikiwe katika mahusiano. Wanatumia zaidi ukipata mzuri kuliko yeye.

Sasa mzee baba ulitaka akukubali wakati ana mtu?

Angekubali naamini baadaye ungelalamika pia kwa nini kakukubali wakati ana mtu tayari
 
Wanawake wengi ni wachawi. Huyu naye yumo
 
Kikwete, Samia, Nape, Mwingulu na Makamba acheni kula wenyewe keki ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…