Kuna dada mmoja alikuwa rafiki ila nilikuwa namwelewa. Nilivyompa mistari akasema atajifikiria. Baadae akasema hana hisia nami badala yake ana mtu mwingine. Ingawa iliniuma inakubidi nipotezee.
Baada kipindi cha uponyaji kupita nikapata bonge la pisi kali. Yaani ningepata rafiki yangu hii opportunity nimepoteza. Demu mkali sana. Sasa siku moja huyo rafiki akaniuliza kama nina mtu. Mimi nimfowadia hadi picha yaani. Tangu siku hiyo kakata mawasiliano.
My take. Wasichana wengi anakukataa at the same time hataki ufanikiwe katika mahusiano. Wanatumia zaidi ukipata mzuri kuliko yeye.