Wadada Chukueni Hii: Kuwa wa kwanza katika Game Humdatishwa mwanaume

Wadada Chukueni Hii: Kuwa wa kwanza katika Game Humdatishwa mwanaume

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Unajua Mhusiano bado ni Mada pana Sana lakini tugusie leo kitu kidogo tu kwenye swala la Game.

Mwanaume always akiwa na mtu lazima awe na hisia naye hivyo basi yeye hawezi chukia tendo, Lakini kuna Ingredients kidoncho vikiongezeka basi hata kama huyo mtu alikuja Kuchapa Ilale basi atabaki.

Mtoto wa kike Unapaswa kuwa Mkorofi, Sio mdomoni ila Kitandani, Unajua kuna Ka feeling wanaume wanakapata hasa akiwa na mwanamke mwenye Hamshahamsha, Unamvalia Kijiguo fulani hivi cha kuongeza matamanio, Mtoto unaonesha kuhitaji kwa namna Fulani sio Unakuwa kama Gogo mpaka uombe au uanze papaswa, Unatakiwa kumpa Kitu ambacho hata awe na michepuko unahakika Hatokipata atarudi tu.

Nawaibia Code wadada wenzangu, Mimi mpenzi wangu anapendaga kuja kwangu basi mdada ananikuta nimepiga Ki-skin tight kimoja kizuri na ka T-shirt kangu, akifika tu namuandaa akaoge akirudi anakuta Nshapigia Vile Vidubwana vya Beach 🤣🤣🤣, mtoto najilegea naanza kwa vitu vidogo vidogo yan ilimradi hisia zake zisipate Utulivu, simsubiri aanze ukorofi, Basi bi dada direct naenda Kuishughulikia Pipi, Hapo lazima awe kwenye Taharuki Ya Ajabu sana, Najituma mwenye na yeye akipata pupa namuacha malize, sasa Round ya pili ni jukumu letu wadada, Yan onesha kuwa Unauhitaji mno, na usisubiri uambiwe cha kufanya Jiongezee Shosti. huyo kama atamaliza masaa 24 bila kukumbuka kilichotokea ni nadra sana..

Nimekuja Kuelewa wanaume wengi wanaoanzishaga Mechi wanaongoza kwa kumchoka mwanamke baada ya muda ni kwa sababu kuna mahala anapita anakutana na ambayo hayakuti kwako.. Na kuna kile kimsemo cha kimaskini eti "Mwanaume hata umfanyie nini kama kukuacha naweza kukuacha" Acha fikra za kimaskini, Wangu mbona yupo hapa mwaka wa 15 sasa Toka wewe msomaji ukiwa shule, Mwanaume anatulia mahala ambapo kuna Vibe lake.. Cha msingi elewa Nature ya Mtu wako, HUdumia Mahusiano yako Ukiona mtu kaachwa jua kuna kitu kilipungua Kijana akakipata kwengine amini nakuambia, Mbwa haami nyumba Inayomlisha vizuri.

Kwa kufanya Hivyo huyo mwanaume unayemuita Bahili utakuja kutupa feedback, jiulize kwanini wababa wanahonga sanaa Vitoto vya 2000 kwa7bu vitoto vimekuwa kwenye ulimwengu wa kuangalia Video za Ngono hivyo vinaufundi ambao Mbaba haupati kwa mkewe Ambaye umri umeenda.. Jiongeze leo au subiri mtu ajiongeze kwaajili yako uwekwe Sub

Utakuja kunishukuru.

Itoshe kusema Kijana Aligoma hata kwenda kufanyia kazi mkoani kwaajili yangu, "Ufundi Veta, kitandani Mahaba"
 
Back
Top Bottom