GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,195 Reaction score 1,933 Jul 3, 2016 #1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116] Kuna mahali nmekuta huu ujinga,,,, *mdada ana mimba, na mwenye mimba kamkataa* sasa anaomba ushauri kwa watu,,, mjinga mmoja kamjibu, *siku nyingine ukipewa mimba dai risiti*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116] Kuna mahali nmekuta huu ujinga,,,, *mdada ana mimba, na mwenye mimba kamkataa* sasa anaomba ushauri kwa watu,,, mjinga mmoja kamjibu, *siku nyingine ukipewa mimba dai risiti*
La Pronto JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 973 Reaction score 1,159 Jul 3, 2016 #2 Duh... Itaandikwa sh ngap sasa, au free!?
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,728 Jul 3, 2016 #4 La Pronto said: Duh... Itaandikwa sh ngap sasa, au free!? Click to expand... Aina ya risiti ambayo haina figure inaitwa delivery note au hati ya kubeba mzigo...
La Pronto said: Duh... Itaandikwa sh ngap sasa, au free!? Click to expand... Aina ya risiti ambayo haina figure inaitwa delivery note au hati ya kubeba mzigo...
dan87 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 394 Reaction score 175 Jul 5, 2016 #5 Ukipewa risiti hakikisha inaonyesha serikali inapata kiasi gani (VAT)
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Jul 5, 2016 #6 ha ha
jumayu JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 653 Reaction score 375 Jul 5, 2016 #7 Kama walikuwa walala guest kuna umhimu ya risiti