Wadada: Daini risiti

Wadada: Daini risiti

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,195
Reaction score
1,933
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Kuna mahali nmekuta huu ujinga,,,, *mdada ana mimba, na mwenye mimba kamkataa*
sasa anaomba ushauri kwa watu,,, mjinga mmoja kamjibu, *siku nyingine ukipewa mimba dai risiti*
 
Ukipewa risiti hakikisha inaonyesha serikali inapata kiasi gani (VAT)
 
Kama walikuwa walala guest kuna umhimu ya risiti
 
Back
Top Bottom