Wadada.....duhhh!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Niko kwenye queue hapa makongo kuelekea mwenge, kuna ka Toyota carina Ti nimeazima kwa jamaa yangu ili namimi leo niepuke hamza kanoon. Suddenly I notice this one thing, wadada wengi wanaopush their own ndingas aisee sio kwa vimini hivi walivyotupia... kama kuna mdada kapita anaendesha raum, yaan hadi abiria wa kwenye basi ambalo liko naye parallel woote wametoa macho wakimshangaa. Statistically speaking, katka gari takribani saba nlizopishana nazo asubuhi hii, ni wawili tu walikua wamevaa nadhifu. So I keep asking myself, huko ofisini how do they enter?? Unless they're all bosses, basi hizo ofisi huko zina majaribu makubwa sana aisee.
On my way to Palm beach

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah sasa ulitaka tuvae nini labda?
 
Mmh. Ukianza kujadili maisha ya wana Dsm utashindwa kufanya mambo mengine ya maana.

Hayo uliyoyaona yapo na hayajaanza leo. Hivyo chukulia ni jambo la kawaida. Huko maofisini watajijua wenyewe na maboss zao.
 
Then ukimtongoza anakwambia mi sio muhuni, nna mume "mume my foot" kama kweli mtu ana mume kwanini ajidhalilishe kwa kuvaa vinguo vifupi? Hii ndio inasababisha mpaka tunakosa kuwajua wepi wanauza na wepi wana waume zao, kazini amani inakosekana, kila siku tunagombana na maboss zetu kisa tu umekaa na mrembo alovaa kimini kumbe boss kamaind na anazuia mzigo, mi sijui kutofautisha mavazi lakini wote wanaovaa vimini naona kama wauzaji tu tena ni sawa na wahudumu wa Mat....ako bar zote zilizopo nchini[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo mnaotuletea ajali kwa kutokua makin muwapo barabaran

rap beast
 
Then sisi wanaume kwa kiasi kikubwa tunachangia[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] Eti mkeo anakuvalia kimini then anakwenda ofisini , hivi unaijua kweli thamani ya mkeo? [emoji35] [emoji35] mkeo anavaa hivyo utamu wote unaonekana we unakenua meno tu [emoji615] Mi asee mke wangu hatoweza kuja nivalia hivyo, *tusi*[emoji615]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini hadi picha kwa kweli

Sent from my TV
 
Mkuu hapo hapo watakuja na thread kuwa tunawadhalilisha huku wao wanacha mbunye yote njiani kila mtu ana selfika nayo..! Upuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu umenikumbusah mlina. Ila.umeongea point kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…