donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #21
Sasa mkuu si nlikua kwenye queue???Nyie ndo mnaotuletea ajali kwa kutokua makin muwapo barabaran
rap beast
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu si nlikua kwenye queue???Nyie ndo mnaotuletea ajali kwa kutokua makin muwapo barabaran
rap beast
*tusi* *tusi*tusi*tusi*tusi*tusi*tusi*tusi*tusi*tusi*tusi*............Then sisi wanaume kwa kiasi kikubwa tunachangia[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] Eti mkeo anakuvalia kimini then anakwenda ofisini , hivi unaijua kweli thamani ya mkeo? [emoji35] [emoji35] mkeo anavaa hivyo utamu wote unaonekana we unakenua meno tu [emoji615] Mi asee mke wangu hatoweza kuja nivalia hivyo, *tusi*[emoji615]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, wale wa wajioni mkuu??Weka picha basi.... mbona husema wale wanaofanya mazoezi wametupia tite zao kando kando ya barabara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa,.kumbe ndo yeye?? Ngoja nimtrack kwanza hapa kwa kutumia my Germini GPS (mama hatuendi sehemu kwa maelekezo oooh ukifika pale kwenye mbuyu kata kona kushoto utamuona kuna mama anauza uji wa mchele etc.) Sisi gari tunazotumia ni GPS-enabled, mwendo wakuset ypur destination then una relaxNalendwa njoo ujibu hapa kwann unavaaga vimini namna hyo
Hahahahahaaa hata kama ungekuwa na nia huna uwezo wa kumuteka yule mtotoHahah vyote tu mkuu. Naona bado uko kwenye ligi ileee, mi mzinguaji tu mkuu ila si kwamba kweli nina nia ya kuteka boma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa,.kumbe ndo yeye?? Ngoja nimtrack kwanza hapa kwa kutumia my Germini GPS (mama hatuendi sehemu kwa maelekezo oooh ukifika pale kwenye mbuyu kata kona kushoto utamuona kuna mama anauza uji wa mchele etc.) Sisi gari tunazotumia ni GPS-enabled, mwendo wakuset ypur destination then una relax
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, kweli mkuu??Hahahahahaaa hata kama ungekuwa na nia huna uwezo wa kumuteka yule mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, haina noma mkuu mengine tutamaliza juu kwa juu. Acha nifunge kombe mwanaharamu apite.hahhahhahaa nakuaminia mkuu !lakin usinileteleze nikatukanwa na mume jaman !aiseee !
Ni ngefu mkuu tu vizuri sema kwa sababu ya kuwa zinabana huwezi shift mguu kirahisi inavidi upandishe ili uweze kupata balance nzuri akishuka mbona ndegu .. Sema wale wengine huwa wana weka kamtandio mbele .. Acha kuchungulia Magari yawengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh mkuu bana tunaenda na wakati...Then sisi wanaume kwa kiasi kikubwa tunachangia[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] Eti mkeo anakuvalia kimini then anakwenda ofisini , hivi unaijua kweli thamani ya mkeo? [emoji35] [emoji35] mkeo anavaa hivyo utamu wote unaonekana we unakenua meno tu [emoji615] Mi asee mke wangu hatoweza kuja nivalia hivyo, *tusi*[emoji615]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalendwa njoo ujibu hapa kwann unavaaga vimini namna hyo
Khaa!, na joto la Dar cha kujiua na Dera kisaa!
Don Itabidi atuzoee tu kwa kweli na kupambana na hali halisi..[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka tujadili kitu gan hapa tujadili vimin vya wadada au tujadili hiyo gar uliyoazima?
Cc baby mbitiyaza
Sent using Jamii Forums mobile app