Wadada.....duhhh!!!

Wadada.....duhhh!!!

yaan nakupa lift uanze kunihubiria tena ? hahahah! nakuwekea singeli tu sasa
Ukinipa lift na umevaa kimini Mathayo 7-7 inakuhusu asee!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] Utaelewa tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua hapa kila mtu na ndoa na mume/mke wake !mie nguo ndefu hazinipendez jaman ! na mume ndo kbsss hatak kuvaa nguo ndefu ! nachukiza sana yaan ! mie ni mwendo wa gaun fupi tu kwakwel ! mume ndo alinikuta nazo hizo sasa ww jiran uanze kuninyooshea kidole itakuwa kazi kidg kukuelewa !
Nani bwana nanyupu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania ndio maana hatuendelei, ivi mavazi ni kitu cha kukaa na kudiscuss??? Anaingiaje ofisini inakuhusu nini ww?? Ila kawaida sketi futi ya size ya magoti ukikaa inapanda sasa uko kwenye ndinga yako uangaike kuivuta ili iweje?? Simple minds discuss pipo...endeleeni kudiscuss umni wake wkt mmeshikilia bomba hapo ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huvai trauza ? yes kila mtu na ladha anayopenda ! mie ni bora nikavaa gaun fupii kuliko nivae dera nilichomekee kwenye CHUPI ! hua nahis ni biashara tayar kwann dera uchomekee kwenye chupi jaman !khaa hapana !au uvae dera usivae ngup ya ndani full mirindimo aisee hapana bora nivae nguo fupi tu
Daah, haya mambo yakuchomokea kwenye chupi yanashawishi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom