Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Hahaha, halafu ni ma homeboy kabisa. Ndio maana unaambiwa bora Kafir akufaae siyo Islam asiyekufaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheh!, asee kwa kweli..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, halafu ni ma homeboy kabisa. Ndio maana unaambiwa bora Kafir akufaae siyo Islam asiyekufaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, kausha basi mkuu. Sio mpaka niliemwazima ashtuke..nanatuzuga huyu anamgari mkubwa anajificha ficha ili asiwindwe na njia ni ile ya makongo ohooo
wewe bwana haya
Maweeeee.....!!!!???mi nikifika kwenye gari nafungua zipi napandisha nguo niwe huru na sidiria nafungua sababu siku nziima nimejibana pale ndiyo sehemu ya kupumua .. kwa hiyo jiandae kabisa
ha haha
Inawezekana, kwanza hongera bw. Kunta kwa kuchukua 6 awards juzi kati.Usikute uyo mdada anaenda kinondoni au sinza duka lake la nguo
[emoji85] [emoji85] [emoji85] Tobaaaa! Yameanza sasa[emoji615] [emoji615] [emoji615] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]their dress their choice
mbona wanaume wanavaa suti na wanawavua wanaume wenzao suti na kufanya nao mapenzi kinyume na maumbile? nani shetani Kati ya hao wawili
Mkuu kama umetoka nje ya mada kidogo? Nways its just a humorous talk kusogeza masaa nothing serious. Sikufika huko mkuutheir dress their choice
mbona wanaume wanavaa suti na wanawavua wanaume wenzao suti na kufanya nao mapenzi kinyume na maumbile? nani shetani Kati ya hao wawili
Sijambo...mambo yako?
Hahahah, sawa mkuu.Kama wewe ni mwanaume na umeoa ukishindwa kuamua mavazi ya mkeo basi usishangae siku moja mkeo akavaa chupi peke yake kwenda sokoni.
Hawa watu hawahitaji demokrasia kwa 100%.
Kumtawala mkeo changanya demokrasia na dictatorship.
Upande wa mavazi wanawake wengi hawana akili (sio wote).
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Hahahaha Asante kwa niaba, my favourite artist KendrickInawezekana, kwanza hongera bw. Kunta kwa kuchukua 6 awards juzi kati.
Sent using Jamii Forums mobile app