Wadada.....duhhh!!!

Wadada.....duhhh!!!

Mkuu kama umetoka nje ya mada kidogo? Nways its just a humorous talk kusogeza masaa nothing serious. Sikufika huko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
ukweli mchungu yani mnaona swala la wanawake na mavazi Yao ni ushetani wa kiwango cha mwisho
lakini hamuangalii side B ya wanaume wanaovaa nadhifu na ushetani wanaoufanya kwenye jamii
 
Wanawake wengi kuonekana wamevaa nguo fupi wakati waki drive ni kwamba kuna logic katika hilo. Mwanamke akiwa amevaa gauni au skirt ndefu huwa wanatatizika katika ku drive hasa katika ku shift miguu kati ya accelerator, brake au clutch. Wengi kweli huwa wanazipandisha kidogo ili waweze kuona pedal wanayokanyaga. Hali hii maranyingi huwa kwa wanawake ambao hawana experience ya ku drive kwa miaka mingi. Ila ukikutana na wale walioanza ku drive miaka mingi, huwa hawahitaji kuvuta nguo juu wakati waku drive. Hili nililigundua wakati namfundisha wife kwani mara zote alikuwa anapandisha nguo juu ili aweze kuona pedals kupitia katikati ya magoti/miguu. Unless avae suruali ndo hatatiziki.
NB: Kweli wapo wanaovaa nguo fupi kama jadi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatutega sasa sijui hawatambui kuwa mwanaume machine
 
Hahahah, sawa mkuu.
Ila swala la ku ulamba kyupi na kwenda market hiyo itakua ngumu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fikiria tu
Sasa hivi hali iko hivyo, tuna dini, tunapiga kelele kuhusu wanawake kujistiri na kelele nyingi kutoka serikalini (ofisi za umma). Fikiria kama tungekaa kimya mavazi ya wanawake yangekuaje leo hii?
Fikiria hakuna dini wala kelele yoyote hali ingekuaje?

Wanawake usiwachukulie mzaha mzaha akili zao ni za kipekee sana

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Ukiwaambia wanasema tunawadhalilisha na wanadai hatuwaheshimu na mbaya zaidi wakitukanwa wanadai tumewatukana mama zetu,kweli mama yangu huyu mzee hivi anavaaga kiuchiuchi,mbona mimi sijawhishuhudia..?

Wanawake wengi wanavaa mavazi yakujidhalilisha nakufanya vijana tushindwe kuoa kwa wakati kwani wakivaa hivyo tunapata confidence yakuwatongoza na wengi hawakatai,tukiwalamba mzuka wakuoa unapungua,mchawi wa mwanamke ni mwanamke kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapandisha juu izo sketi ili kubalance miguu yao wakati wa kukanyaga wese

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Weka picha

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom