Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Kimbia bili mkuuKwenu wadada mnaopenda kufakamia savanna, msifikiri ni sifa kufakamia mi savanna, hapo mjue mnafakamia mi sukari tu ambayo inahatarisha afya zenu!! Utakuta mdada anafakamia misavana kama ameambiwa kiwanda kinafungwa! Kunywa kwa kiasi 2 hadi 3
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaVipi umemtoa bi dada unaona anazigida tu na wewe balance yako inaanza yumba ukaamua kumtisha ili aache aagize maji? Sasa kama unawakataza savana basi wape kinywaji mbadala kisicho na sukari nyingi.
Na nyie wababa ndo mfakamie?Kwenu wadada mnaopenda kufakamia savanna, msifikiri ni sifa kufakamia mi savanna, hapo mjue mnafakamia mi sukari tu ambayo inahatarisha afya zenu!! Utakuta mdada anafakamia misavana kama ameambiwa kiwanda kinafungwa! Kunywa kwa kiasi 2 hadi 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sitoagi ofa mkuu, mimi bar naenda peke yangu na narudi peke yangu ila naona wadada wanavyofakamia savanna wakifikiri ni sifa! Industrial inayowekwa kwny vinywaji si salama sana!!Bill imekuja shin'ngapi kwani???
😀Bill imekuja shin'ngapi kwani???
Kwahiyo unapendekeza watumie nini,gongo??Mimi sitoagi ofa mkuu, mimi bar naenda peke yangu na narudi peke yangu ila naona wadada wanavyofakamia savanna wakifikiri ni sifa! Industrial inayowekwa kwny vinywaji si salama sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...isije kuwa laki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani Savannah sh ngp siku hizi?
Aiseeee una shida hapo ulipo. Kimbia
Oohooo!balaa tayari!kwani kamekunywa ngapi mkuu?na wewe ulibeba shi ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleee
Kimbia bili mkuu
Vipi umemtoa bi dada unaona anazigida tu na wewe balance yako inaanza yumba ukaamua kumtisha ili aache aagize maji? Sasa kama unawakataza savana basi wape kinywaji mbadala kisicho na sukari nyingi.
Bill imekuja shin'ngapi kwani???