Wadada Hala hala na Savanna!!

Wadada Hala hala na Savanna!!

Vipi umemtoa bi dada unaona anazigida tu na wewe balance yako inaanza yumba ukaamua kumtisha ili aache aagize maji? Sasa kama unawakataza savana basi wape kinywaji mbadala kisicho na sukari nyingi.
Hahaha

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Kwenu wadada mnaopenda kufakamia savanna, msifikiri ni sifa kufakamia mi savanna, hapo mjue mnafakamia mi sukari tu ambayo inahatarisha afya zenu!! Utakuta mdada anafakamia misavana kama ameambiwa kiwanda kinafungwa! Kunywa kwa kiasi 2 hadi 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie wababa ndo mfakamie?
 
jf ukileta uzi kiboya unakugeuka
Aiseeee una shida hapo ulipo. Kimbia
Oohooo!balaa tayari!kwani kamekunywa ngapi mkuu?na wewe ulibeba shi ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbia bili mkuu
Vipi umemtoa bi dada unaona anazigida tu na wewe balance yako inaanza yumba ukaamua kumtisha ili aache aagize maji? Sasa kama unawakataza savana basi wape kinywaji mbadala kisicho na sukari nyingi.
Bill imekuja shin'ngapi kwani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom