mkuu kama vipi wacheki wale wanaotoa mkopo fasta fasta...wanaweza kukusaidia maramoja!Kwenu wadada mnaopenda kufakamia savanna, msifikiri ni sifa kufakamia mi savanna, hapo mjue mnafakamia mi sukari tu ambayo inahatarisha afya zenu!! Utakuta mdada anafakamia misavana kama ameambiwa kiwanda kinafungwa! Kunywa kwa kiasi 2 hadi 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Buku 4500 kuna limoja jana limefakamia saba, nalichora tu nikishaligegeda halinioni tenaKwani Savannah sh ngp siku hizi?
Leo thina mb jomoniii😃
😅😅😅dah
4000Kwani Savannah sh ngp siku hizi?
Athante thanaaa..lohPole thana Best
Buku 4500 kuna limoja jana limefakamia saba, nalichora tu nikishaligegeda halinioni tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipa tu bili.Ukitaka kula lazima na wewe uliwe kidogoVipi umemtoa bi dada unaona anazigida tu na wewe balance yako inaanza yumba ukaamua kumtisha ili aache aagize maji? Sasa kama unawakataza savana basi wape kinywaji mbadala kisicho na sukari nyingi.
Dah,hizo kitu nazikubali sana aisee,hivi kwa nini mnazihusisha sana na wanawake ,au ni mahususi kwa ajili yao tu sie mijibaba tusinywe??
Hahaha usikute huyo manzi alikwenda na rafiki zake na wote wanakunywa savanna.. Basi jamaa macho Yana mtoka hatariHahahaha nimecheka sana aisee....jifanye unaongea na simu utokomee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha usikute huyo manzi alikwenda na rafiki zake na wote wanakunywa savanna
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂machachuu bora unywe maji ya moto tu sasA▀▄▀▄▀▄Watumie Castle Lite▄▀▄▀▄▀
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
[emoji23][emoji23]ni ulimbukeni sana