Wadada Hala hala na Savanna!!

Wadada Hala hala na Savanna!!

Siachi
IMG-20190301-WA0012.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa una roho ya korosho, pombe huiwezi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nnajiskia kuumwa ila hPa nimecheka jaman khaaa[emoji23][emoji23][emoji23]7 si haba [emoji23][emoji23][emoji23]..bora turudi kwenye wine tu sasa kama watu wenyew ndo nyie[emoji23][emoji23]niimecheka sana aisee...thys y mie nikitaka kuenjoy natakaga niwe na hela yangu[emoji23]jana nilijinunulia image 2 nikaona zimenipeleka sana nikabadili gia angan kwa redds..aisee umenichekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] 7 * 4000 = 28,000/-.. Alipe tu starehe gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah,hizo kitu nazikubali sana aisee,hivi kwa nini mnazihusisha sana na wanawake ,au ni mahususi kwa ajili yao tu sie mijibaba tusinywe??
Niliona comment ya binti mmoja anamshangaa jamaa yake anakunywa wine... She said kuwa mwanaume anayekunywa wine inabidi aangaliwe vizuri.. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom