Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Haha unaweza kutoka mbio ujue --- vijana wenzangu sijui huwa wana watoa wapi wana wake wenye tabia hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
nikadhanigi Ni peke angu ndo siyaelewi๐๐๐๐๐machachuu bora unywe maji ya moto tu sasA
nikadhanigi Ni peke angu ndo siyaelewi๐๐
me yalinishinda, Nkijitahidi moja ya pili haiwezi kuisha
Ahah pata kitu roho inapendamie sinywi kbs..nikikuta mambo yangu hakina nakunywa coca..as sihusudu sna pombe.aku
๐๐Ahah pata kitu roho inapenda
Naikunywa balsa aisee,ajabu naeza wine au whisky Kali nisilewe wala kuyumba hata kidogo,ila nikinywa savana chupa mbili tu hoizilivyo tu zimekaa kikike..!ila km unakunywa kunywa tu
Naikunywa balsa aisee,ajabu naeza wine au whisky Kali nisilewe wala kuyumba hata kidogo,ila nikinywa savana chupa mbili tu hoi
hata mm nikitaka nilewe chap ninywe savana..4 tu nakuwa level ya STGR..
Kaishaa..ndio maana nakuaga na backup plan mapema tuHahaha usikute huyo manzi alikwenda na rafiki zake na wote wanakunywa savanna.. Basi jamaa macho Yana mtoka hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Bill imekuja shin'ngapi kwani???
Kamsaidie kulipa jomonii๐๐๐
Wanywe seengeti lager hazina sugarVipi umemtoa bi dada unaona anazigida tu na wewe balance yako inaanza yumba ukaamua kumtisha ili aache aagize maji? Sasa kama unawakataza savana basi wape kinywaji mbadala kisicho na sukari nyingi.
๐๐๐๐sasa naona unataka nibadilisha jinsia hvhv mkuu..hahaa mie ni mama !sijui una jingine๐๐
Felister we si mwanafunzi kwa nini unakunywa hayo madudenikadhanigi Ni peke angu ndo siyaelewi[emoji23][emoji23]
me yalinishinda, Nkijitahidi moja ya pili haiwezi kuisha