Wadada Hala hala na Savanna!!

Ukiwa una roho ya korosho, pombe huiwezi!
 
[emoji23] 7 * 4000 = 28,000/-.. Alipe tu starehe gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah,hizo kitu nazikubali sana aisee,hivi kwa nini mnazihusisha sana na wanawake ,au ni mahususi kwa ajili yao tu sie mijibaba tusinywe??
Niliona comment ya binti mmoja anamshangaa jamaa yake anakunywa wine... She said kuwa mwanaume anayekunywa wine inabidi aangaliwe vizuri.. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…