Wakivaa fupi kero ,ndefu ndio hivyo Hivi lini mtaacha akina dada wapumue
Preta hii ni fashion mwenzio imeigia ya vikofia na si vya kulalia japokuwa waweza kufanyia kazi iyo. Binafsi huwaga sipend tu kushobkea mafashen mapya ila kama leo mjini akina dada wengi kweli walivivaa inaelekea huyu mjasiriamali aliyevishona kapata tenda la nguvu.huku kwetu naona wadada kuna vikofia vya kulalia kila mtu kakivaa.....vya brown na vyeusi....
sijajua ni fashion ya lini hii.......
huku kwetu naona wadada kuna vikofia vya kulalia kila mtu kakivaa.....vya brown na vyeusi....
sijajua ni fashion ya lini hii.......
Preta hii ni fashion mwenzio imeigia ya vikofia na si vya kulalia japokuwa waweza kufanyia kazi iyo. Binafsi huwaga sipend tu kushobkea mafashen mapya ila kama leo mjini akina dada wengi kweli walivivaa inaelekea huyu mjasiriamali aliyevishona kapata tenda la nguvu.
atakuwa kala bingo ya kufa mtu......ila mtu akikivaa hawi smart.....naona kama ametoka kulala......
mweee....hiyo inipite....tena ipite kuleeeeee......mbali kabisa.......
Mkivaa Kata K ni fashion au??????
Unakusudia dera au gauni la aina gani lina mtandio wake au zenye kama kiflana kwa ndani?
Wakivaa fupi kero ,ndefu ndio hivyo Hivi lini mtaacha akina dada wapumue
huku kwetu naona wadada kuna vikofia vya kulalia kila mtu kakivaa.....vya brown na vyeusi....
sijajua ni fashion ya lini hii.......