Wadada jamani pombe si chai ona mwenzenu alivyoaibika na kuishia kubakwa na kutupwa mtaroni

Bring me your cup ,I have got a bottle may you mix pls with ugolo toget a genuine steam? Yes mix it the result is .......samahani for bad English
 
POMBE%2B%25281%2529.jpg

Picha inajieleza yenyewe, hapo Dada huyo akisaidiwa na Msamaria mwema aliyemuokota kwenye mtaro baada ya mwanadada huyo kupiga Chupa za Kutosha na Kisha kuzidiwa na Pombe , Jamaa hawakucheza mbali wakajilia vyao na kutimuka wakimwacha dada mtaroni bila msaada wowote.
Ladies Jamani Pombe si.......
Sidhani kama ni pombe tu, pengine na madawa ya kulevya.
 
POMBE%2B%25281%2529.jpg

Picha inajieleza yenyewe, hapo Dada huyo akisaidiwa na Msamaria mwema aliyemuokota kwenye mtaro baada ya mwanadada huyo kupiga Chupa za Kutosha na Kisha kuzidiwa na Pombe , Jamaa hawakucheza mbali wakajilia vyao na kutimuka wakimwacha dada mtaroni bila msaada wowote.
Ladies Jamani Pombe si.......
Hahaha
 
Back
Top Bottom