Wadada, je Hili nalo ni tatizo kwene mahusiano?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Namshukuru Mungu kwa kuwa ni rijali.Lakini pia wakati wa kula tunda huwa inanichukua muda mrefu sana bila kamanda kusinzia.Niseme 1,2,3 ndio jamaa walau anasinzia.sasa sijui niseme ni 3 times 1 au 1 time 3.Hii inampa shida sana Hawa wangu ila mie huwa napenda kushuka baada ya 3 na baadaye ndo naendelea.Kwa sasa anaonekana kutokupenda kuniandalia chakula changu ikionekana wazi kuwa anaogopa kuchoka wakati mie nataka kula.Hii inaanza kunisumbua sana kimawazo.Naombeni ushauri nifanyeje?
 
ngono majogoo haya
tujenge nchi jamani
 
inaonekana una muda mrefu sana huu duu endelea hivyo hivyo mpaka utaizoea tu uone ya kawaida halafu chengine punguza hasira nayo utalost mkuu..
 
Ulitakiwa upate wa aina yako. Unajua kila mtu kwa aina yake! Kuna wa moja, mbili, tatu na kuendelea. Sasa inapotokea wa 7 akampata wa 2 inakuwa michosho. Ungempata wa tatu mwenzio we, mbona ungefurahi! Huna jinsi kubali yaishe!
 
Kila kitu kwa kiasi, sasa hicho wewe ndio kiasi chako lakini sio cha mwenzio, so tafuta mwenye kiasi kama chako...jamani kuduiwa huku hujifeel ni kero sidhani kama kuna tofauti na kubakwa.....
 
muulize mkeo atakupa jibu zuri...
unaweza kuta hata anaelalamika hujamwomba ushauri...
sa ukija jf moja kwa moja inakua sio sawa...
 
Sasa kama unajua matatu mwenzio anakuwa amechoka unataka ushauri gani?Punguza mpe adoado si kukandamiza kama unalima,nadhani huyo mwenzio anakazi zaidi ya hiyo unayompa.Sioni kama ni vema wewe kufanya hivyo,fanya kwa kiasi pia hurumianeni.Mkuu ni mtazamo wangu tu.
 
huyo mwanamke akiamka asubuhi anafeel 'k' yote inawaka moto... usikute mara hizo saba zote anaburuzwa tu, wala hafiki kileleni
 
Unaweza ukampa 1 yakituo akafika kilele,kuliko 3 zakumsulubu, tatu zote hizo wala tamu hazing tena zaidi ya msuguo nakummiminia mwenzio mijasho Kama unalima.pole pole kwa raha zenu mtafurahi kuliko kumfanya mwenzio Kama shamba unamlima...
 
Kila kitu kwa kiasi, sasa hicho wewe ndio kiasi chako lakini sio cha mwenzio, so tafuta mwenye kiasi kama chako...jamani kuduiwa huku hujifeel ni kero sidhani kama kuna tofauti na kubakwa.....

hakuna hata utofauti,unatamani ajitoe halafu ndo kwaanza yuko busy aaargghh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…