MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Namshukuru Mungu kwa kuwa ni rijali.Lakini pia wakati wa kula tunda huwa inanichukua muda mrefu sana bila kamanda kusinzia.Niseme 1,2,3 ndio jamaa walau anasinzia.sasa sijui niseme ni 3 times 1 au 1 time 3.Hii inampa shida sana Hawa wangu ila mie huwa napenda kushuka baada ya 3 na baadaye ndo naendelea.Kwa sasa anaonekana kutokupenda kuniandalia chakula changu ikionekana wazi kuwa anaogopa kuchoka wakati mie nataka kula.Hii inaanza kunisumbua sana kimawazo.Naombeni ushauri nifanyeje?