Wadada JF Mnaziona Design za KUCHA Hizi??

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378

zebra nail designs / zebra nail art designs

summer nail designs

strawberry cute nail design

 
ni nzuri sana....asante kwa kutuwekea......
 
Halafu uvikute vidole vyenyewe vimeshika glass ya wine hapo inanoga!!
 
urembo mzuri sana, wamependeza. asanteni kwa kutu-update mamabo ya urembo
 
Hao wote inaelekea huwa hawashiki maji wala hawafanyi kazi yoyote ya ndani, but they looks good!
 
Hivi hiyo mikono inaweza kushika jembe? Maana..when chips are down..we might need to go back kulima...sasa hivyo vidole..duh..pagumu hapo...
 
Hizi safi sana kwenye kukuna ile kitu yetu sisi wanaume!!!
 
Gharama ya kutengeza hizo kucha ni tsh elfu 30 hadi 60.
mda wa kukaa saloon ni masaa 3. unakaanazo zaidi ya miezi 2
na unafanya kazi zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…