Wadada jitahidini kupaka mafuta makalio yenu

Wadada jitahidini kupaka mafuta makalio yenu

Kwa kweli haipendezi hata kidogo kukuta mtoto wa kike anakalio gumu.

Kama umeshindwa kununua lotion kwa ajili ya kupaka makalioni basi pakaa hata mafuta ya nazi au mafuta ya kula.

Haya usiku mwema

Niliamka kidogo kuwapa ushauri.
Ninawasiwasi utakuwa na urafiki na wale mende wakubwa
 
Duh sasa si kila mtu ana tako lake mkuu! Wengine malaini,wengine magumu na wengine yana mapele

Ila vyote hivyo sio kitu makalio kazi yake kukaa asa yanakosaje kuwa magumu!

Kwanza umejuaje au umekua kiti?

Infact dada zangu wana taabu!
 
Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.

Upande wa pili ndio hii shida imeshamiri yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.

Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Sasa dada, mtoto wa kiume KUPAKA WESE MATAKONI si mwanzo wa kuwa Shoga.. Utapaka matakoni kwa mkono wako ipo siku Utapakwa na wanaojua kuyapaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan ndio amelala nayo sasa yamemkwangua ndio kashtuka akagundua tatizo ni mafuta so kaamua kutoa ushauri
Hahaa ... mbona Unajitawaza ..lakini hausemi kuwa kujishika shika utupu wako ni ushoga ",.. makalio nayo ni party ya mwili yana hitaji kufanyiwa matunzo ili mwili mzima uweze kuwa msafi ... nakuondoa makunyazi ya ngozi ama kuusaidia mwili kuepuka kunuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikujibu nitag... Labda jamaa anatembea na mavi yake haha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaa ... mbona Unajitawaza ..lakini hausemi kuwa kujishika shika utupu wako ni ushoga ",.. makalio nayo ni party ya mwili yana hitaji kufanyiwa matunzo ili mwili mzima uweze kuwa msafi ... nakuondoa makunyazi ya ngozi ama kuusaidia mwili kuepuka kunuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Unknown device
 
Back
Top Bottom