Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Wadau naomba melezo kidogo maana nashindwa kuelewa. Hii ni ile style miguu inaangaliana kwenye vidole gumba na visigino vinaachana mbali. Binafsi naona wanatembea vibaya sana na haina mvuto kabisa. Labda ni mimi tuu.
Je, ni fasheni, ugonjwa, kukosa uvungu mguuni au ina mahusiano na style za ufanyaji ngono?
Je, ni fasheni, ugonjwa, kukosa uvungu mguuni au ina mahusiano na style za ufanyaji ngono?