Wadada kutembea/kusimama gumba zimeangaliana imekaaje?

Wadada kutembea/kusimama gumba zimeangaliana imekaaje?

Ni kweli Tabia hii ni kwa ke na me wote kwa pamoja wana vijitabia hivi adi wasanii wakiojiwa kwenye TV live mwemye kamera akionyesha miguu yao uvunguni uivuta kwa karibu utaona miguu imepindishwa karibia wasanii wote nawaonaha hivyo .hii tabia chanzo chake asilimia nyingi miguu yao imeenda kushoto alimahalufu Chalinze kwahiyo wanailekebisha kihivyo sasa uwaga wanazidisha mpaka imekuwa swaga ata wazima wanafanya hivyo
"al maaruf"
"wanairekebisha"
 
Kumbe ni swaga tu duuuh!......nilijua wamezaliwa hivyo.
 
Nimemuona leo mmoja anatembea hivo khaaaaa hizi fashooon nyingine ni ujinga mtupu
 
Wanasema ukisimama vile hips zinaonekana au zinajitengeneza
 
Back
Top Bottom