Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Wee mwongo mbona sikuoni[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Umeniacha stendi.
Wee mwongo mbona sikuoni[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
k mnato...aisee naisaka sana mana zime kuwa Adimu kweliwana k mnato hao ndo watamu
Uko sahihi. Wanaku kama bata hiyo dizaini ya utembeajiMwandishi wa hu uzi umechemka kufungua hii mada ila mimi nimekuelewa..........
Kwa ambao hamjamuelewa mleta mada anauliza kuwa kuna aina ya mwendo ambao kuna baadhi ya madada duuu huwa wanajifanyisha kama sio kuuzoea kwa makusudi ambapo katika kutembea mguu au kwa maana ya sehemu ya unyayo huwa unapotua baada ya hatua kupigwa huwa unatua kwa kupinda inwards badala ya kunyoosha .....yaani ni kama vile ambavyo mpoki huwa anaigiza ana utege miguu imepinda kuingia kwa ndani.......yaani ni as if miguu ya muhusika imepinda.....na baada ya muda huwa wanazoea na kulemaa hivyo hubaki hivyo hivyo......huwa wanatembea kwa kunesa kiasi kwamba mbwembwe zinazidi hadi unajua kuwa huo mwendo ni wa mbwembwe si wa asili yao........ni kama vile wanawake wanapoongea kwa kupinda midomo yao kuelekea kushoto au kulia utadhani sijui wadudu gani.....yote ni mbwe mbwe ili waonekane matata kweli kweli............
Mkuu tupia video.Mwandishi wa hu uzi umechemka kufungua hii mada ila mimi nimekuelewa..........
Kwa ambao hamjamuelewa mleta mada anauliza kuwa kuna aina ya mwendo ambao kuna baadhi ya madada duuu huwa wanajifanyisha kama sio kuuzoea kwa makusudi ambapo katika kutembea mguu au kwa maana ya sehemu ya unyayo huwa unapotua baada ya hatua kupigwa huwa unatua kwa kupinda inwards badala ya kunyoosha .....yaani ni kama vile ambavyo mpoki huwa anaigiza ana utege miguu imepinda kuingia kwa ndani.......yaani ni as if miguu ya muhusika imepinda.....na baada ya muda huwa wanazoea na kulemaa hivyo hubaki hivyo hivyo......huwa wanatembea kwa kunesa kiasi kwamba mbwembwe zinazidi hadi unajua kuwa huo mwendo ni wa mbwembwe si wa asili yao........ni kama vile wanawake wanapoongea kwa kupinda midomo yao kuelekea kushoto au kulia utadhani sijui wadudu gani.....yote ni mbwe mbwe ili waonekane matata kweli kweli............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee mwongo mbona sikuoni[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Umetisha. Na wanavyojikogosha sasa................Ni kweli Tabia hii ni kwa ke na me wote kwa pamoja wana vijitabia hivi adi wasanii wakiojiwa kwenye TV live mwemye kamera akionyesha miguu yao uvunguni uivuta kwa karibu utaona miguu imepindishwa karibia wasanii wote nawaonaha hivyo .hii tabia chanzo chake asilimia nyingi miguu yao imeenda kushoto alimahalufu Chalinze kwahiyo wanailekebisha kihivyo sasa uwaga wanazidisha mpaka imekuwa swaga ata wazima wanafanya hivyo
Wee umejuaje wakati wee ni ke sisi me ndo tunatakiwa tujue!!wana k mnato hao ndo watamu